iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Kwa hari niliyofikia sasahivi stamani kuzungukwa na mtu yeyote anaenifaham, nataman niende mbali ambapo nitaonekana ni mgeni kwa kila mtu, asinijue mtu yeyote, na huku ntakapotoka wasiwe na habari yangu wala taarifa zangu zozote ni wapi nitakapoenda , yan nipotee tu katika mazingira ya kutatanisha