Natamani nikaishi mbali sehemu ambayo sifahamiki na mtu yoyote

Pole ndugu yangu nazan unapitia changamoto isiyo na mfano mumy. Ni maisha tu yatapita hakuna marefu ysiyo na ncha.

Na mm pia ni mmoja siku nipotee wasijue nilipo kozi nahisi nimepoteza kila kitu muhimu sema ndio siwez sasa
Kifo ndiyo njia pekee japo sikushauri njia hii
 
Hivi kumbe kuna wazazi wenye uwezo wa kuibia hadi watoto wao 😳😳 aisee, pole sana Mkuu. Kweli familia ziko tofauti tofauti sana
 
Ndo maana nasema, stamani tena kuishi karibu na ndugu yangu yeyote, niende mbali nikaishi mwenyewe na watu wasionifahamu kabisa [emoji2363]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…