Natamani nikutane Lulu aka Michael yule muigizaji aliyepewa tuzo!!!

Natamani nikutane Lulu aka Michael yule muigizaji aliyepewa tuzo!!!

winner100

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
325
Reaction score
209
Nampenda Lulu Michael wazoefu viwanja vipi naweza kumpata au kukutana naye au ofisi zake ziko wapi

Nisaidieni wapendwaaaa!!!! ....I am sick bcoz of her

Haijalishi alivyo historia yake me nampenda tuuuuuuu!!!!!
 
Kama kweli yaliyosemwa yapo, sikushauri kuendelea kumtafuta
Otherwise you will be committing suicide!
 
Hilo swala dogo mcheck DM huyu mzazi wake atakueleza kwa kumpata
1470762881749.jpg
 
Nenda pale Shamo Tower mishale ya asubuhi...huwa anafanya mazoezi kwenye ile gym pale juu.
 
Mna uhakika na mnayoandika ,mtoto mshallah vile awe mgonjwa!!!
 
hana maajabu yule mtoto ni wakawaida sana ilibaki kidogo ni mgonge bahati mbaya shoga yake nimemng'amua vizuri anaitwa HUSNA MAULIDI aligombeaga umiss 2011
 
Kuna raia wenye moyo ila linapo kuja suala la kupambana na panya road huwaoni tena
 
Back
Top Bottom