Natamani ningekua na mchumba kama wa Sabaya

Natamani ningekua na mchumba kama wa Sabaya

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Yule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya.

Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano, likasikia umetiwa ndani hata kwa kesi ya uzururaji tu, nalo ndio linakukimbia mazima hata kukuletea sabuni magereza halitaki.

Nimependa spirit aliyonayo mchumba wa sabaya kwa kweli.
 
Safi sana,ndio inavyostahili.
Hongera tele zimfikie.
 
Yaani mwanamume mzima unatamani kuolewa na sabaya! Mtu hana credibility wala uaminifu kwa Serikali hizo hela alizowaibia watu huko Hai akazificha chini ya carpet zitaisha sijui upendo utakuwepo atapoanza kuchunga ng'ombe jua huyu hakubaliki tena katika Jamii licha ya cheti chake cha Chuo hataajiriwa.
 
😀 unahatua bado za kujifunza kuhusu hao viumbe!.
 
Kwa hyo wakuu ile gari ya sabaya v8 atarudishiwa na silaya Yale mbna tuyakoma
 
Tuko busy...Samahani!
20220419_075708.jpg
 
Yule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya.
Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano, likasikia umetiwa ndani hata kwa kesi ya uzururaji tu,nalo ndio linakukimbia mazima hata kukuletea sabuni magereza halitaki.
Nimependa spirit aliyonayo mchumba wa sabaya kwa kweli.
Sabaya ana hela za kurithi.😄
 
Sasa kwanini uzurure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani mwanamume mzima unatamani kuolewa na sabaya!
mtu hana credibility wala uaminifu kwa Serikali
hizo hela alizowaibia watu huko Hai akazificha chini ya carpet zitaisha
sijui upendo utakuwepo atapoanza kuchunga ng'ombe
jua huyu hakubaliki tena katika Jamii licha ya cheti chake cha Chuo hataajiriwa
What an ignorant!
 
Umeelewa massage ya mwandishi lakini?
 
Back
Top Bottom