Comex
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 481
- 621
Hiyo ni siri ya kambiYule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya.
Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano, likasikia umetiwa ndani hata kwa kesi ya uzururaji tu,nalo ndio linakukimbia mazima hata kukuletea sabuni magereza halitaki.
Nimependa spirit aliyonayo mchumba wa sabaya kwa kweli.