Natamani ningekua na mchumba kama wa Sabaya

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Yule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya.

Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano, likasikia umetiwa ndani hata kwa kesi ya uzururaji tu, nalo ndio linakukimbia mazima hata kukuletea sabuni magereza halitaki.

Nimependa spirit aliyonayo mchumba wa sabaya kwa kweli.
 
Safi sana,ndio inavyostahili.
Hongera tele zimfikie.
 
Yaani mwanamume mzima unatamani kuolewa na sabaya! Mtu hana credibility wala uaminifu kwa Serikali hizo hela alizowaibia watu huko Hai akazificha chini ya carpet zitaisha sijui upendo utakuwepo atapoanza kuchunga ng'ombe jua huyu hakubaliki tena katika Jamii licha ya cheti chake cha Chuo hataajiriwa.
 
😀 unahatua bado za kujifunza kuhusu hao viumbe!.
 
Kwa hyo wakuu ile gari ya sabaya v8 atarudishiwa na silaya Yale mbna tuyakoma
 
Sabaya ana hela za kurithi.😄
 
Sasa kwanini uzurure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
What an ignorant!
 
Umeelewa massage ya mwandishi lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…