Natamani ningekua na mchumba kama wa Sabaya

Hiyo ni siri ya kambi
 


Ukiona vyaelea jua vimeundwa
Na wewe Mtengeneze wako. Uwezo unao
 
Ila kuna wanawake wana moyo jamani,

Yani kumpenda mtu mwenye moyo wa ukatili na kiburi kama si jeuri namna ile kwa mfano mmnh hapana aisee!

Hata kama anafanyia wengine lakini lazima upime uone je siku akikubadilikia itakuwaje?

Je laana itaweza kuja kuathiri vizazi vyenu au la ?

Yataka moyo kwa kweli.!
 
Wavumilivu wapo kwenye mambo kama hayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…