Unaufahamu umuhimu wa ustawi wa wana?
naufahamu vizuri sana,mimi pia ni mzazi tena wa watoto wakubwa tu!nalizungumza hili kwa ajili ya ndoa yako my dear ukiona ushauri wangu haukufai wala nisingependa ujisikie vibaya wala kuhamanika,wewe litatue hili vile unaamini ni sawa!
samahani kama umehisi nakulenga wewe,but niliona niende na thread ulivoipost,najua hilo ni tatizo la watu wengi sana since maisha yamekuwa na changamoto nying sana sasa hivi,nakuelewa sana pengine nami nilipita katika ugumu huo and wat isuggested was how i tackled my problem for tha case so ilikuwa ni katika kujaribu kusaidiana tu,and for the record napenda sana familia yenye watoto wenye amani na furaha kwani wao ndoa wanatufanya tupige mzigo kazini AU SIO?lakini my idea was wewe/au mwngine yoyote awaye yupo mbali kihisia na mke/mume wake so nikajaribu kupendekeza la kufanya,so inawezekana kwa wengine walio kwenye tatizo hilo kwao inaweza ikawa msaada au isiwe msaada pia it depends on how u apply it and kind of a relationship u have with ur partner.sawa mdau?maswali yapi sijayajibu my dear?Usijali,hapa huniri mimi tu,bali watu wengi,lengo langu sio mimi tu bali wengine pia,so unaposhauri usinilenge mimi tu.Ndo maana hata maswali mengine unatakiwa uyajibu!
samahani kama umehisi nakulenga wewe,but niliona niende na thread ulivoipost,najua hilo ni tatizo la watu wengi sana since maisha yamekuwa na changamoto nying sana sasa hivi,nakuelewa sana pengine nami nilipita katika ugumu huo and wat isuggested was how i tackled my problem for tha case so ilikuwa ni katika kujaribu kusaidiana tu,and for the record napenda sana familia yenye watoto wenye amani na furaha kwani wao ndoa wanatufanya tupige mzigo kazini AU SIO?lakini my idea was wewe/au mwngine yoyote awaye yupo mbali kihisia na mke/mume wake so nikajaribu kupendekeza la kufanya,so inawezekana kwa wengine walio kwenye tatizo hilo kwao inaweza ikawa msaada au isiwe msaada pia it depends on how u apply it and kind of a relationship u have with ur partner.sawa mdau?maswali yapi sijayajibu my dear?
ahsante!karibu tenaUsiombe samahani kwani hujanikosea.Nimekuelewa mama!
BADILI TABIA,hujaelewa kitu hapo.Changamoto sio kuja usiku pekee zipo nyingi kwenye familia na maisha ya leo.Nakumbuka mwaka 1998 nilipata ajira kwenye kampuni moja,mkurugenzi na mkewe ni kama sio mtu na mkewe,katika miaka yangu 7 ya kufanya kazi pale ni wiki moja tu walikaa pamoja!!