Arash charlz
Member
- Apr 23, 2014
- 50
- 1
unasoma uje kupata ajira. kirahisi tuu. we risiti ndo utajua km una nia ya dhat kurud skul ama vp
asante mkuu!, nikachukue kozi gani nzuri katika vyuo hivyo!Kapige Cheti CBE, NIT, TIA, IFM kote huko utapokelewa
asante mkuu,kwa kuniongoza,Kasome chote usireset utarudia mara kibao na hautapata unachotaka unawajua necta ww so nenda tu kasome cheti vyuo viko vingi sana hapo dar na mikoani kikubwa tuu walezi wako wawe tayari kukusapport kwa hiloo
Naomba kuuliza wakuu,
Hivi kuna nafasi ya kurudia kidato cha tatu (govt schoo)kwa mwanafunzi aliyekwishamaliza kidato cha nne na kupata div IV?
nimekuelewa mkuuTafuta chuo uanze na ngazi ya certificate halafu ukitaka utaendelea na diploma au hata degree. Kuna jamaa alirisit mpaka akachoka alipata matokeo ambayo hayo ya kwako ni mazuri sana, akaamua kutafuta chuo akaanza kusoma sasa amemaliza kusoma ngazi ya diploma.
Kapige Cheti CBE, NIT, TIA, IFM kote huko utapokelewa
kuresit ni kupoteza mudaWakuu, mie nimehitimu elimu ya sekondari mwaka 2013 na kupata daraja la nne point 32. Mpaka sasa sielewi nikasomee taaluma gani! Nimeomba ualimu nimekosa, na ndio lililokuwa tegemeo langu kubwa.
Mpaka sasa nipo mtaani na sina mwelekeo wowote wa kusoma hadi natamani nirudie shule form4 resit.
Naomba ushauri wako nisome kozi gani na chuo gani ili nije kupata ajira.
Help me please!
mh!!! Kweli?good sdvice,ila somo certificate ya library,record mgt & archive utapata kaxi kirahisi au soma uhasibu