Arash charlz
Member
- Apr 23, 2014
- 50
- 1
Wakuu, mie nimehitimu elimu ya sekondari mwaka 2013 na kupata daraja la nne point 32. Mpaka sasa sielewi nikasomee taaluma gani! Nimeomba ualimu nimekosa, na ndio lililokuwa tegemeo langu kubwa.
Mpaka sasa nipo mtaani na sina mwelekeo wowote wa kusoma hadi natamani nirudie shule form4 resit.
Naomba ushauri wako nisome kozi gani na chuo gani ili nije kupata ajira.
Help me please!
Mpaka sasa nipo mtaani na sina mwelekeo wowote wa kusoma hadi natamani nirudie shule form4 resit.
Naomba ushauri wako nisome kozi gani na chuo gani ili nije kupata ajira.
Help me please!