Natamani nirudi shule, naombeni ushauri wenu

Natamani nirudi shule, naombeni ushauri wenu

Naomba kuuliza wakuu,hivi kwa MTU mwenye d2,e3 na f2 kuna chuo kitampokea kwa kozi ya human resource ngazi ya certificate
 
siku zote elimu wanaifananisha na bahari ..elimu haina mwisho" rudi darasni ujipange upya..
 
Back
Top Bottom