Natamani Rais Samia awe kama Kim Jong Un

Natamani Rais Samia awe kama Kim Jong Un

Hakuna Kutumia Simu
-Hakuna kutoka nje ya nchi
-Hakuna mtu kuitumia la KIM kama jina lake.
Hakuna kuangalia movie
đź”¶Ongeza kingine unachokijua kuhusu North Korea.
Hivi ndivyo majinga hufikiri . Wewe na chura lako wote zombie. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Hakuna Kutumia Simu
-Hakuna kutoka nje ya nchi
-Hakuna mtu kuitumia la KIM kama jina lake.
Hakuna kuangalia movie
đź”¶Ongeza kingine unachokijua kuhusu North Korea.
Haya ndiyo madhara ya kugeuza magimbi na viazi vitamu (vingamba) kuwa ndiyo chakula cha usiku. Ile gesi yake tumboni ndiyo humsababishia mtu kufanya kitu chochote kile atakacho jisikia.
 
Hakuna Kutumia Simu
-Hakuna kutoka nje ya nchi
-Hakuna mtu kuitumia la KIM kama jina lake.
Hakuna kuangalia movie
đź”¶Ongeza kingine unachokijua kuhusu North Korea.
ili kwamba awe kama kim jong shart la kwanza lazima anyoe kiduku na avae masuruali kama kung'utio la mashineni halafu hauo mengine ndio yafuatie
 
Hakuna Kutumia Simu
-Hakuna kutoka nje ya nchi
-Hakuna mtu kuitumia la KIM kama jina lake.
Hakuna kuangalia movie
đź”¶Ongeza kingine unachokijua kuhusu North Korea.
Ulivyoiweka mada yako, cha kujadliwa na Samia sio NK. Mimi natamani abaddilike afute zile kauli za ovyo:
1. Mawaziri kuleni urefu wa kamba zenu.
2. Nimetia pamba masikini.
3. Mimi ni chura kiziwi.
4. Atoke kwenye chama la mafisadi ahamie Chadema.
 
Hakuna Kutumia Simu
-Hakuna kutoka nje ya nchi
-Hakuna mtu kuitumia la KIM kama jina lake.
Hakuna kuangalia movie
đź”¶Ongeza kingine unachokijua kuhusu North Korea.
Usichojua hiyo nchi ni familia,hata yeye ameyakuta na akifa ataendeleza ndugu yake kwenye familia yao.
 
Back
Top Bottom