Natamani ratiba za CHADEMA zigongane na za Waziri Mkuu ndani ya wilaya moja na siku moja tuone itakuwaje

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Hiyo siku kuwe na usawa na haki toka kwa Polisi kusiwe na vitisho na kila mwananchi achague mwenyewe aende wapi, wakubebwa na magar wabebwe, wakwenda wenyewe waende then tupate picha ya siasa zetu je bila polisi kutoa vitisho na mashinikizo wataenda wapi!
 
Iyo siku kuwe na usawa na haki toka kwa POLISI kusiwe na vitisho na kila mwananchi achague mwenyewe aende wapi wakubebwa na magar wabebwe,wakwenda wenyewe waende then tupate picha ya siasa zetu je bila polisi kutoa vitisho na mashinikizo wataenda wp
*=+ wa Serikali ya CCM hawawezi kuruhusu hilo litokee, kwasababu wanajua that contest will bring them a humiliating defeat!
 
Hapo unapewa 10,000 unaingia kwenye roli kwenda kujaza uwanja wa sisiemu. Watapika wali mwingi huko kuvutia watu
 
Ingekuwa sio vibali vinavyotolewa na polccm kukubaliwa ili ufanye mkutano mambo yangelikuwa mengne coz hao polccm wanapewa taarifa mapema so hawawezi kuachia huo mgongano. Ila wakajiroga tu waachie i swear cku hyo huyo waziri mkuu anabak mwenyewe na mwenyekiti wa kitongoji pamoja na maafande wake tu wengne wote chadema inameza sa ibaki waanze kusema na kutishia chadema kuwa wanawafutia usajili kwa sabbu ya aibu watakayoipata.
 
Kuna mtu ataumbuka.Niamini mimi.
 
hayo ni matumizi yasiyo sahihi ya akili na busara.
huwezi kutaka kiongozi namba 3 wa nchi ashindanishwe na wapiga kelele wa vyama
 
Tamaa zingine ni nonsense kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…