Natamani sana andiko hili la hukumu ya Afande Bageni lisomwe vituo vya Polisi na Makazi yao kwenye Paredi

Hao waliouawa ndio hawana thamani? Muuaji apewe funzo aliyeuawa akifanya kazi halali za kujenga Taifa na jamii akadhulumiwa yeye hakuhitaji funzo au kutiwa Moyo? Kama hamjui wewe na wenzio

DAMU HULIPWA KWA DAMU. HAKUNA MBADALA WA DENI LA DAMU HASA ISOKUWA NA HATIA. ACHENI UBINAFSI/ UNAFIKI.

Kama kunyongwa ni mbaya wauawe kwa njia nyingine. Lasivyo nchi itajaa madai na damu za visasi zinazolia aridhi Kila siku. Tutakuwa tunatwanga maji kinuni Kila siku kuzika na kukimbizana na vifo visivyoeleweka kisa damu zinazodai aridhini.
 
Kama marais watatu wanaume, akiwemo rais jembe, rais shoka na rais chuma cha pua, Ben, JK na JPM, walishindwa kusaini, what are the chances mwanamke anyonge mtu?.
P
Kumbe ndio maana anashindwa mambo mengi katika utawala wake kwa vile ni MWANAMKE?
Sikulijua hilo! Waziri Mwigulu anawajibu wananchi hovyo yeye kimya sababu ya woga wa kike! Wanaiba mali ya umma according to CAG anasema waibe kulingana na useful wa kamba zao kwa vile yeye ni MWANAMKE anaogopa wanaume watakasirika na kuchukua hatua kiume na kadhalika kulingana na tafsiri yako.
Sasa hao wanaosema "mitano tena" hivi wamewahi kutafsiri hoja ya Pascal Mayalla kuwa mwanamke hawezi kunyonga (kuwajibisha) mtu? Shtukeni basi jamani!
Octoba mpeni heshima mama ya kustaafu na mafao yake matukufu akapumzike Kizimkazi na wajukuu kwa furaha ya kuwahi kuwa Rais by default.
Hongera sana Pasco (kada maarufu) kwa kutufumbua macho.
 

Soma hiyo habari hapo juu uniambie hao waliokuwa wananyongwa na jamaa ni nani alisaini@ Pascal
 
Ushauri nbovu sana. Kwamba kuwanyonga wauaji ni unyama lakini wao kuwaua wenzao kwa mateso makali kama wanyama ni sawa.
 
nimtafuta review TANZLII..niwekee hapa kama unayo
 
Ngojea siku auliwe nduguyo mkuu uje na andiko la kurasa saba, (sikuombei hayo).
 
Kama marais watatu wanaume, akiwemo rais jembe, rais shoka na rais chuma cha pua, Ben, JK na JPM, walishindwa kusaini, what are the chances mwanamke anyonge mtu?.
P
Una safari ndefu sana.....what makes u think ni kwa sababu ya uanaume au uanamke ndo mana hawakusaini? Hivi unamjua mwanamke vizuri wewe? Then mtu kama wewe tunategemea uwe umeshakua huru kifikra jinsia ili uelimishe wengine kwakuwa una platform kumbe bado unahitaji kuelimishwa😌. Nchi tunaionea sana hii kutuacomod8....
 
Kw
Kwa kima kama huyu kunyongwa mpaka kufa ni sawa sawa, hakuna cha kupewa sumu wala kuwekwa kwenye kiti cha umeme yeye mwenyewe alifanya jambo la kinyama sana.
 
Siku CCM itakapo furushwa madarakani, ndipo tutakapopata Jeshi la Polisi safi
 
Sidhani kama watasoma huu waraka.
 
Njaa unashida sana wewe! Kwanini unajisahsulisha kuhusu waliouawa walikufaje!?
 
Jaji aliyeongoza hukumu jaji BL alitangulia mbele ya haki akimuacha aliyemuandaa!
 
P unashida sana wewe! Kwanini unajisahsulisha kuhusu waliouawa walikufaje!?
Haijalishi muuaji amekufaje,lengo la adhabu ni punitive na corrective,adhabu ya kifo sio corrective!。

Lengo la adhabu ya kifo,ni kumuondoa mtu uhai,there so many ways kumuondoa mtu uhai sio lazima in such barbaric way!。

Adhabu ya kunyonga,ni adhabu ya kikoloni,lengo lake ni kuogofya!。Wakoloni wenyewe wameisha achana nayo,nimeshauri
  1. Tuachane nayo
  2. kama bado tunaihitaji adhabu ya kifo iwepo,sio kwa kunyonga
  3. Tutumie modern ways to end life!
P
 
Hukumu ya kifo, inaweza kuwa kupigwa shot ya umeme, kuwekewa kamba shingoni, kudungwa sindano na kufa polepole.
 
Ndio maana nasisitiza tukatae ulevi wa Dini.

Sio vibaya kuwa na dini ila kuendekeza dini sana kila unayemuangalia hutaiona status yake wala ubinadamu wake bali dini yake.
Dini inatumika sana kule Zanzibar, utakuta mtu akikutwa na Makosa anaanza kusema naomba unusable mimi ni muislam mwenzako au sisi wote ni waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…