jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu vijana wa sikuhizi hawana heshima wanajua wote umu ni vijana kwahiyo wanaropoka tu.Kumbuka ni mtu mzima huyo unamwita hana akili na kumbuka machapisho yake lukuki yalojaa maarifa na elimu kibao,kupishana mawazo hakumtoe mtu akili