jaap JF-Expert Member Joined Dec 25, 2018 Posts 4,888 Reaction score 6,459 Feb 27, 2025 #161 Uchira 1 said: Kumbuka ni mtu mzima huyo unamwita hana akili na kumbuka machapisho yake lukuki yalojaa maarifa na elimu kibao,kupishana mawazo hakumtoe mtu akili Click to expand... Mkuu vijana wa sikuhizi hawana heshima wanajua wote umu ni vijana kwahiyo wanaropoka tu.
Uchira 1 said: Kumbuka ni mtu mzima huyo unamwita hana akili na kumbuka machapisho yake lukuki yalojaa maarifa na elimu kibao,kupishana mawazo hakumtoe mtu akili Click to expand... Mkuu vijana wa sikuhizi hawana heshima wanajua wote umu ni vijana kwahiyo wanaropoka tu.