Jamaa sijui anakwama wapi dahDoh bas kama hujanielewa na hapo hutanielewa tena ..hiyo ni script ndugu yangu may be una kichwa kizito ..
Ukiambiwa Simba na yanga ni team za kisiasa hiyo ndo maana yake..
Hiyo game itapangiwa tarehe na itachezwa vizuri tu ..
Fungua kichwa chako Toka kwenye ushabiki ndo utanielewa nachosema..
Kwani game ya 2021 yanga walisemaje baada ya kuondoka s hawatacheza game nyngne,game haikuchezwa..
Simba na yanga ni zaid ya uzijuavyo..
Nyinyi Makolo FC hapa tunaongelea Bodi ya Ligi sio ushabiki wa timu fulani jana ilibidi timu zote zifike uwanjani km itagoma basi ikagomee pale uwanjani na timu isiyofika uwanjani basi ipigwe rungu kanunii ndio zinavyosema hivyo, sasa viongozi wa Bodi ya Ligi wamekurupuka na kuja na maamuzi ya kijingajinga pumbavuJamaa sijui anakwama wapi dah
Upo kishabiki sana mkuu, endelea kuamini unachoanini kwasababu unahisi kila anayeongea hapa ni shabiki wa Simba. Huu uzi haumuhitaji mtu ambaye ni shabiki maandazi bali mtu aliye na akili timamu asiye athirika na usimba na Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga fuatilia vizuri, ila naongea ukweli kuwa hizi timu ni mtaji wa wana siasa na serikali kwa ujumla. Na mechi kuhairishwa ni mipango ya kisiasa na taasisi zote za Simba na Yanga zimehusika.Nyinyi Makolo FC hapa tunaongelea Bodi ya Ligi sio ushabiki wa timu fulani jana ilibidi timu zote zifike uwanjani km itagoma basi ikagomee pale uwanjani na timu isiyofika uwanjani basi ipigwe rungu kanunii ndio zinavyosema hivyo, sasa viongozi wa Bodi ya Ligi wamekurupuka na kuja na maamuzi ya kijingajinga pumbavu
Rungu lilibidi liwashukie waliogoma kucheza full stopUpo kishabiki sana mkuu, endelea kuamini unachoanini kwasababu unahisi kila anayeongea hapa ni shabiki wa Simba. Huu uzi haumuhitaji mtu ambaye ni shabiki maandazi bali mtu aliye na akili timamu asiye athirika na usimba na Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga fuatilia vizuri, ila naongea ukweli kuwa hizi timu ni mtaji wa wana siasa na serikali kwa ujumla. Na mechi kuhairishwa ni mipango ya kisiasa na taasisi zote za Simba na Yanga zimehusika.
Umeandika ukweli sasa hao FIFA wako wapi, hawaoni upuuzi wote ule? Yanga na Simba ni vyombo vya kupumbaza watanzania. Rais wa nchi haoni upuuzi wote huo kwanini waziri, naibu wake, katibu mkuu na wale walio kwenye mamlaka yake hawajafukuzwa kazi? Rais ameridhika na huo upuuzi.Kilichotokea kipo kwenye mipango na wote wahusika wameshirikiana katika kutengeneza hili tukio, Simba na Yanga zinatumika na serikali katika kupumbaza watu, katika kupenyeza ajenda zao za kisiasa na katika kuwafanya watu wasahau kuhoji mambo ya msingi kama kuna matukio nyeti.
Kwanini nasema kimepangwa;
1) Simba na Yanga wamecheza mechi nyingi sana derby lakini hakuwahi kutokea huu utaratibu wa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Mkapa. Yanga anafanya mazoezi yake mwanzo mwisho kwenye kambi yake maalumu huku na wao Simba hufanya mazoezi yake katika kambi yake maalumu kisha watakutana uwanjani katika mechi husika. Imekuaje leo mambo yabadilike ghafla kwa Yanga na Simba kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja utakaotumika katika mechi?
2) Kulikuwa na uwezekano mkubwa kwa jana kufanyika maridhiano kwa timu ya Simba kupewa ruhusa ya kuingia uwanjani kufanya mazoezi yao ya mwisho kwavile meneja wa uwanja alikuwepo hivyo ilikuwa ni swala la maridhiano kwa kuruhusu waingie ndani, hao wazee walioshukiwa ni waganga wangehamriwa wabakie nje kwasababu sio sehemu ya wahusika.
3) TFF wameonesha kuhairisha mechi sababu kuu ni uzembe wa watu kushindwa kutoa taarifa kwa meneja wa uwanja, maofisa wa mechi na timu mwenyewe kuwa watautumia uwanja kwa siku ya Ijumaa.
Hapa taasisi zote tatu zimeshiriki kuwachezea mashabiki na wapenzi wa mpira uhuni, Simba hawakuwa na sababu ya kuzuiwa kufanya mazoezi, baada ya Simba kuzuiwa haikiwa sababu ya wao kugomea mechi na TFF na bodi ya ligi nao walipaswa kuonesha nguvu zao kwa kusimamia kanuni na sheria kwa sababu zinazoweza kupelekea mechi kuhairishwa.
TFF na bodi ya ligi wamedhihirisha wazi zipo kwaajili ya manufaa ya Simba na Yanga na sio chombo kinachoweza kusimamia haki kwa timu zote na ndio maana tumeshuhudia Azam na timu zingine zikicheza mechi back to back mfululizo ila wao Simba na Yanga ni malaika wanapewa wiki nzima zijiandae na mechi.
Timu zingine zinachezeshwa mechi mchana wa jua kali kabisa ila Simba na Yanga timu ya mtaji wa serikali watayayuka kwenye jua kali wao wanachezeshwa jioni au usiku.
Hili tukio ingekuwa ni timu tofauti na Simba na Yanga tungeona vifungu vya sheria vikifanya kazi. Sio ajabu kuona hizi timu mbili zikibeba mabango, ziki print tisheti kwa ujumbe wa wana siasa wa chama kilicho madarakani ni kwavile ni mtaji wa serikali.
Simba, Yanga na TFF unaofanyia uhuni mpira wetu kwa mambo yenu ya kisiasa
Ushirikina unadumaza maeneo mengi katika nchi hii, hata wanasiasa wengi wanaamini katika ushirikina na wakuu wengi wa taasisi na idara huamnini katika ushirikina kupata au kilinda vyeo vyao.Imani za ushirikina ni ujinga unaodumaza maendeleo ya mpira Tanzania. Kwani wakiingia na wavaa kaniki itawapa ushindi? Tunalishana ujinga tu.
Simba na Yanga ni vilabu vyenye nguvu ya pesa. Adhabu ya faini haiwatishi ndiyo sababu wanarudia makosa. Ziwekwe adhabu za kupokonywa pointi.
Wakati raisi mwenyewe hizo timu ndio anazotegemea kwaajili ya kusambaza ujumbe wa "MAMA ANAUPIGA MWINGI" n.k kwenye mabango na matisheti.Umeandika ukweli sasa hao FIFA wako wapi, hawaoni upuuzi wote ule? Yanga na Simba ni vyombo vya kupumbaza watanzania. Rais wa nchi haoni upuuzi wote huo kwanini waziri, naibu wake, katibu mkuu na wale walio kwenye mamlaka yake hawajafukuzwa kazi? Rais ameridhika na huo upuuzi.
Sawa wananchi wazipuuzie tena waanze kuzizomeaWakati raisi mwenyewe hizo timu ndio anazotegemea kwaajili ya kusambaza ujumbe wa "MAMA ANAUPIGA MWINGI" n.k kwenye mabango na matisheti.
Naunga mkono hojaKilichotokea kipo kwenye mipango na wote wahusika wameshirikiana katika kutengeneza hili tukio, Simba na Yanga zinatumika na serikali katika kupumbaza watu, katika kupenyeza ajenda zao za kisiasa na katika kuwafanya watu wasahau kuhoji mambo ya msingi kama kuna matukio nyeti.
Kwanini nasema kimepangwa;
1) Simba na Yanga wamecheza mechi nyingi sana derby lakini hakuwahi kutokea huu utaratibu wa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Mkapa. Yanga anafanya mazoezi yake mwanzo mwisho kwenye kambi yake maalumu huku na wao Simba hufanya mazoezi yake katika kambi yake maalumu kisha watakutana uwanjani katika mechi husika. Imekuaje leo mambo yabadilike ghafla kwa Yanga na Simba kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja utakaotumika katika mechi?
2) Kulikuwa na uwezekano mkubwa kwa jana kufanyika maridhiano kwa timu ya Simba kupewa ruhusa ya kuingia uwanjani kufanya mazoezi yao ya mwisho kwavile meneja wa uwanja alikuwepo hivyo ilikuwa ni swala la maridhiano kwa kuruhusu waingie ndani, hao wazee walioshukiwa ni waganga wangehamriwa wabakie nje kwasababu sio sehemu ya wahusika.
3) TFF wameonesha kuhairisha mechi sababu kuu ni uzembe wa watu kushindwa kutoa taarifa kwa meneja wa uwanja, maofisa wa mechi na timu mwenyewe kuwa watautumia uwanja kwa siku ya Ijumaa.
Hapa taasisi zote tatu zimeshiriki kuwachezea mashabiki na wapenzi wa mpira uhuni, Simba hawakuwa na sababu ya kuzuiwa kufanya mazoezi, baada ya Simba kuzuiwa haikiwa sababu ya wao kugomea mechi na TFF na bodi ya ligi nao walipaswa kuonesha nguvu zao kwa kusimamia kanuni na sheria kwa sababu zinazoweza kupelekea mechi kuhairishwa.
TFF na bodi ya ligi wamedhihirisha wazi zipo kwaajili ya manufaa ya Simba na Yanga na sio chombo kinachoweza kusimamia haki kwa timu zote na ndio maana tumeshuhudia Azam na timu zingine zikicheza mechi back to back mfululizo ila wao Simba na Yanga ni malaika wanapewa wiki nzima zijiandae na mechi.
Timu zingine zinachezeshwa mechi mchana wa jua kali kabisa ila Simba na Yanga timu ya mtaji wa serikali watayayuka kwenye jua kali wao wanachezeshwa jioni au usiku.
Hili tukio ingekuwa ni timu tofauti na Simba na Yanga tungeona vifungu vya sheria vikifanya kazi. Sio ajabu kuona hizi timu mbili zikibeba mabango, ziki print tisheti kwa ujumbe wa wana siasa wa chama kilicho madarakani ni kwavile ni mtaji wa serikali.
Simba, Yanga na TFF unaofanyia uhuni mpira wetu kwa mambo yenu ya kisiasa
Ili kuifungua ubongo wako uelewe ungepitia uzi kwa umakini kule juu nimesema kabisa hakuwahi kuwepo utaratibu wa Simba na Yanga kwenda uwanja wa Mkapa kwaajili ya kufanya mazoezi ya mwisho na kukagua uwanja. Kwanini mechi hii iwe na mazingira tofauti na ilivyozoeleka? Ni script iliyotengenezwa ili tu mechi isichezwe tarehe 8 kwasababu ya mambo ya kisiasa. Hata hao Yanga wanaojifanya kuweka misimamo ya kutocheza mechi hiyo ni zuga tu ila kilichofanyika ni makubaliano ya pande zote tatu Simba, Yanga na TFF na bodi yake ya ligi kutocheza huu mchezo hiyo siku.Hao viongozi wa Bodi ya Ligi ndio wamefanya maamuzi ya kijinga
Uko vizuri sana mkuu kama umeweza uliona hili jambo kwa angle hii. Mzigo umepangwa wote, viongozi wameambiwa wazuge tu.Ili kuifungua ubongo wako uelewe ungepitia uzi kwa umakini kule juu nimesema kabisa hakuwahi kuwepo utaratibu wa Simba na Yanga kwenda uwanja wa Mkapa kwaajili ya kufanya mazoezi ya mwisho na kukagua uwanja. Kwanini mechi hii iwe na mazingira tofauti na ilivyozoeleka? Ni script iliyotengenezwa ili tu mechi isichezwe tarehe 8 kwasababu ya mambo ya kisiasa. Hata hao Yanga wanaojifanya kuweka misimamo ya kutocheza mechi hiyo ni zuga tu ila kilichofanyika ni makubaliano ya pande zote tatu Simba, Yanga na TFF na bodi yake ya ligi kutocheza huu mchezo hiyo siku.
Utakesha unatamaniKilichotokea kipo kwenye mipango na wote wahusika wameshirikiana katika kutengeneza hili tukio, Simba na Yanga zinatumika na serikali katika kupumbaza watu, katika kupenyeza ajenda zao za kisiasa na katika kuwafanya watu wasahau kuhoji mambo ya msingi kama kuna matukio nyeti.
Kwanini nasema kimepangwa;
1) Simba na Yanga wamecheza mechi nyingi sana derby lakini hakuwahi kutokea huu utaratibu wa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Mkapa. Yanga anafanya mazoezi yake mwanzo mwisho kwenye kambi yake maalumu huku na wao Simba hufanya mazoezi yake katika kambi yake maalumu kisha watakutana uwanjani katika mechi husika. Imekuaje leo mambo yabadilike ghafla kwa Yanga na Simba kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja utakaotumika katika mechi?
2) Kulikuwa na uwezekano mkubwa kwa jana kufanyika maridhiano kwa timu ya Simba kupewa ruhusa ya kuingia uwanjani kufanya mazoezi yao ya mwisho kwavile meneja wa uwanja alikuwepo hivyo ilikuwa ni swala la maridhiano kwa kuruhusu waingie ndani, hao wazee walioshukiwa ni waganga wangehamriwa wabakie nje kwasababu sio sehemu ya wahusika.
3) TFF wameonesha kuhairisha mechi sababu kuu ni uzembe wa watu kushindwa kutoa taarifa kwa meneja wa uwanja, maofisa wa mechi na timu mwenyewe kuwa watautumia uwanja kwa siku ya Ijumaa.
Hapa taasisi zote tatu zimeshiriki kuwachezea mashabiki na wapenzi wa mpira uhuni, Simba hawakuwa na sababu ya kuzuiwa kufanya mazoezi, baada ya Simba kuzuiwa haikiwa sababu ya wao kugomea mechi na TFF na bodi ya ligi nao walipaswa kuonesha nguvu zao kwa kusimamia kanuni na sheria kwa sababu zinazoweza kupelekea mechi kuhairishwa.
TFF na bodi ya ligi wamedhihirisha wazi zipo kwaajili ya manufaa ya Simba na Yanga na sio chombo kinachoweza kusimamia haki kwa timu zote na ndio maana tumeshuhudia Azam na timu zingine zikicheza mechi back to back mfululizo ila wao Simba na Yanga ni malaika wanapewa wiki nzima zijiandae na mechi.
Timu zingine zinachezeshwa mechi mchana wa jua kali kabisa ila Simba na Yanga timu ya mtaji wa serikali watayayuka kwenye jua kali wao wanachezeshwa jioni au usiku.
Hili tukio ingekuwa ni timu tofauti na Simba na Yanga tungeona vifungu vya sheria vikifanya kazi. Sio ajabu kuona hizi timu mbili zikibeba mabango, ziki print tisheti kwa ujumbe wa wana siasa wa chama kilicho madarakani ni kwavile ni mtaji wa serikali.
Simba, Yanga na TFF unaofanyia uhuni mpira wetu kwa mambo yenu ya kisiasa
Tukio hili limewagawa watu wengine wapo upande wa Simba, wengine kwa Yanga na wengine wanaona kosa la TFF. Lakini kiundani wote lao ni moja. Watu wanakauka koo kwa kubishana wakati wenzao wanajisifia kwa lengo la kuwahadaa mashabiki limetimia.Uko vizuri sana mkuu kama umeweza uliona hili jambo kwa angle hii. Mzigo umepangwa wote, viongozi wameambiwa wazuge tu.
Mechi imeahirishwa na bodi, alafu azabu apewe simba??Bodi ya Ligi imewatia watu hasara kwa maamuzi yao ya kiduanzi, alieogoma kucheza apigwe rungu lake yanga apewe point 3 na magoli 3 na yule aliegoma apigwe rungu
Hii sio Mara ya kwanza mwaka 2021 pia yanga walisema hawatacheza tena derby lakini walicheza ilipowekewa tarehe nyingine.Yanga wamesema hio tarehe ya gemu nyingine hawatocheza sasa hizo baraka za timu ya Yanga nani aliekwambia Yanga imekubariana na maamuzi ya Almasi Kasongo na Steve Mngeto?
Hata mrusha matangazo mwenyewe Azam alikuwa na taarifa. Kwa miaka ya karibuni sekta hii imekuwa zaidi kwenye ushawishi, huwezi fananisha na muziki. Kama una jambo lako ukiwekeze kwa team za kariakoo linapata ngucu zaidi kuliko ukipeleka kwa wanamziki na waigizaji kwa maana hawana ushawishi mkubwa kwa sasa to fauti na ile 2010s.Tukio hili limewagawa watu wengine wapo upande wa Simba, wengine kwa Yanga na wengine wanaona kosa la TFF. Lakini kiundani wote lao ni moja. Watu wanakauka koo kwa kubishana wakati wenzao wanajisifia kwa lengo la kuwahadaa mashabiki limetimia.
Bodi ya ligi imeahirisha mechi.Yanga kosa lake lipi?? Meneja wa uwanja ni mwajiriwa wa Yanga?? Simba kazuiliwa na yanga kuingia uwanjani??
Sheria za mpira zinasemaje?? Unadai haki kabla au baada ya mechi?? Ukinijibu hayo maswali nitakuwa na wewe kujenga hoja ya mada yako