Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

Utumie jina halisi au usitumie, bado haibadilishi uhalisia wako...
 
Natamani nimuone erythrocyte
 
Utumie jina halisi au usitumie, bado haibadilishi uhalisia wako...
Ila wakongwe wanalalamika kuwa vijana hawana adabu hivyo kwa kuweka picha kaheshima katakuwepo kidogo
 
Ila wakongwe wanalalamika kuwa vijana hawana adabu hivyo kwa kuweka picha kaheshima katakuwepo kidogo

Mtu anayeitafuta adabu JF inabidi afanyiwe maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…