Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
sawaaHahaha nimekuelewa sana mkuu umetema bonge la point huyo ZERO IQ na RIKI BOY wanachangamsha sana jf hahaa
Yaani wewe ungekuwa mfano ingekuwa vyema nakuzidi hadi Mimi ambae sikuleta hoja ila nipo real kuanzia jina na picha.Leo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo:
1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu wanachukuliana poa kwa kuwa ID sio halisi kwahiyo unaweza kuta katoto ka mwaka 2000 kanamtimulia vumbi mtu mzima tena wa miaka 70 huko.
2. Kutapunguza idadi ya watu kutumia ID zaidi ya moja , kama mjuavyo wengi humu wana ID's hata 10 kwa ajiri ya maslai yao binafsi hivyo kama mtu ili afungue account lazima atumie jina pamoja na picha yake original itakua ngumu mtu huyo kuwa na ID's zaid ya moja.
3.Kutarahisisha upanikanaji wa mchumba, mpenzi humu jukwaani, Hii naisema kwa kuwa wanawake wengi humu jukwaani wanachukulia sana poa wanaume wa humu jukwaani kwa kuwa awajawaona wanavyofanania, hivyo kama members humu wakitumia utambulisho wao halisi itakua ni rahisi kumpata mchumba tena ata mke humu jukwaani.
4. Kutapunguza utapeli, wengi humu wanatumia ID ambazo hazima taarifa za ukweli kwa ajiri ya kufanya utapeli hivyo endapo kama members humu watatumia majina na picha zao itakua rahisi ata kuwapata kwani picha na jina ni halisi.
Ni hayo tu wakuu kama kuna sehemu nimesahau kugusia unaweza kuongezea nyama
NAWASILISHA.
Sisi hatutaki kama vipi unda forum yako uwe unavyotakaili watu watambue wanachat na mtu wa aina gani mkuu kuliko kujificha ficha ovyo
Hahaha sawa mkuu umeeleweka acha tuendelee kujificha humu maana kuna faida zake piaKama ukificha jina halisi, halafu ukaikashifu serikali, wakiamua kufuatilia hutapatikana?. Ulipojiunga JF ulitumia no yako ya simu! Ni sawa na bata kuficha kichwa chake ardhini akifikiria yupo salama.
Umetisha firminoLeo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo:
1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu wanachukuliana poa kwa kuwa ID sio halisi kwahiyo unaweza kuta katoto ka mwaka 2000 kanamtimulia vumbi mtu mzima tena wa miaka 70 huko.
2. Kutapunguza idadi ya watu kutumia ID zaidi ya moja , kama mjuavyo wengi humu wana ID's hata 10 kwa ajiri ya maslai yao binafsi hivyo kama mtu ili afungue account lazima atumie jina pamoja na picha yake original itakua ngumu mtu huyo kuwa na ID's zaid ya moja.
3.Kutarahisisha upanikanaji wa mchumba, mpenzi humu jukwaani, Hii naisema kwa kuwa wanawake wengi humu jukwaani wanachukulia sana poa wanaume wa humu jukwaani kwa kuwa awajawaona wanavyofanania, hivyo kama members humu wakitumia utambulisho wao halisi itakua ni rahisi kumpata mchumba tena ata mke humu jukwaani.
4. Kutapunguza utapeli, wengi humu wanatumia ID ambazo hazima taarifa za ukweli kwa ajiri ya kufanya utapeli hivyo endapo kama members humu watatumia majina na picha zao itakua rahisi ata kuwapata kwani picha na jina ni halisi.
Ni hayo tu wakuu kama kuna sehemu nimesahau kugusia unaweza kuongezea nyama
NAWASILISHA.
Upo JF halafu hujui objectives za JF. Wewe ni mzigo!Hahaha hapana mkuu lakini nataka tulete mabadiliko
sio kuchimbika tu Ile ilikua ni vita ya pili ya Tanzania ukitoa Ile ya Uganda maana jamaa alitupiwa makombora ya Nyukilia nikiwa na maana nyuki Hawa Hawa watengeneza asali maana bongo hatuna Nuclear power!Hhahaha jf ni hatari kwahiyo watu wakamtimulia vumbii
karibu sanaHongera mkuu na mimi soon ntaweka picha humu mkuu
Hahaha inawezekna alifungua account nyingine kwa jina jingine tu maisha yakaendelea mkuusio kuchimbika tu Ile ilikua ni vita ya pili ya Tanzania ukitoa Ile ya Uganda maana jamaa alitupiwa makombora ya Nyukilia nikiwa na maana nyuki Hawa Hawa watengeneza asali maana bongo hatuna Nuclear power!
Alikoma bwana
Mwiguluiza Nchembazimana Mwakatozo
Mzee wa tuhamie Burundi!
ππππ