Ni maamuzi tu wala hakuna haja ya kukaa mbali na wanywaji. Mimi nimekua toka mdogo nimezungukwa na walevi, wanywaji, wapiga vyombo, na wavuta sigara na bangi, class yetu olevel ilikua ya wapiga maji muda wote na mimi ndio nilikua nawapeleka vilabuni kupiga vyombo.Epuka ukaribu na watumiaji
Acha pombe sasaWakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe.
Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe,kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Zilimuua mwanangu Fulani, pande za mbeya mitaa ya Iganzo, baada ya mkewe kwenda kwa Mganga Ili amwekee jamaa aache pombe.Dawa za kuacha pombe zipo nyingi sana mitaani ni wewe tu hujawa serious kuzitafuta
YESU aweza kukusaidia, njoo kwake. Mimi alinisaidia. nilitumikishwa na ULEVI kukuzidiWakuu mko salama?