Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

Watu hawajua hata kunywa pombe vizuri unakuta mtu ndani ya dakika 10 kamaliza chupa ya bia , anaagiza nyungine ๐Ÿค” wengi tu hawajui kunywa pombe kwa kustarehe mtu anagida ila alewe haraka bila kujua mathara ya unywaji wa pombe kwa mtundo huo
Me broh nakunywa mfn beer hata 15 nafuta, Ila sasa siwezi fakamia me nakunywa kistaarabu mpk nilio nao wananishangaa ndo maana silewi,

Kingine mtu anakunywa beer mara kamix na spirits afu kichwa kibovu ttzo Hilo,

Me selewii ety mtu anakunywa mpk kutapika au kuropoka, maneno mm sijafikia huko,
 
Bro labda unatumia Kvant, maana ile ni kifutio.

Anyway , pombe mbaya .

Ila mm kuacha bado aisee, ntapiga hivi vilite vyangu kadhaa huku napiga soga .
Kistaff kabisa.
Weekend ndio najiloweka. Weekdays bia zako 5-6 upate hamu ya kula usiku.
Mbn kvant iko sawa tuu Ila sio dry afu na msosi umekula sasa
 
Kuacha pombe haluna dawa,ni uamuzi wako wewe binafsi na ni lazima uweke nia kuwa uaacha
 
Bia moja angalau dakika 30 ndo iwe imeisha, mfano mimi nikiwa nacheki movie , kuperuzi jf na x , au kusoma kitabu cha hadithi , ndio unakuta naburudika na pombe yangu mdogo mdogo .
 
Kuacha pombe haluna dawa,ni uamuzi wako wewe binafsi na ni lazima uweke nia kuwa uaacha
Huyu jamaa hapaswi kuacha pombe , yeye anapaswa ajifunze somo la nidhamu binafsi kupitia hiyo pombe , kuacha kutakuja baadae tusijidanganye ataacha ghafla
 
Uwe unanywea kwa mangi. Unabeba 20,000 asubuhi unaamka na chenji ya supu na nauli.

Hakikisha hubebi simu maana pombe zikianza kuingia kichwani, kuna kishawishi cha kupigia simu mademu waje wasaidie kumaliza hela zako.
 
Asiache jamaa angu, unamwachia nani kwa mfano
 
Ukiamua inawezekana, mwamini Mungu, jikabidhi kwake, omba na ombewa, kaa mbali na marafiki wanywaji. Kuwa mtu wa ibada.
 
Kuna watu watalichukulia poa hii kitu
URAIBU ni mbaya na hatari sana

Mkuu kama kweli umetambua na kuona unashida hii nenda kawaone wataalamu hata pale Muhimbili kama upo Dar

Ni ngumu sana kuacha mwenyewe inahitaji zaidi ya ujasiri kuamua kuacha wakati umekwishakua addicted
Usione haya waone wataalamu hilo ni tatizo la kisaikolojia zaidi linataka wataalamu
 
Bia moja angalau dakika 30 ndo iwe imeisha, mfano mimi nikiwa nacheki movie , kuperuzi jf na x , au kusoma kitabu cha hadithi , ndio unakuta naburudika na pombe yangu mdogo mdogo .
Ewaaah Raha ya unywaji simu iwe full charge au una kitabu mimi ile kunywa naruka naanguka siwezi

zaidi sana napenda nione hao wanaocheza
 
Kvant naiheshimu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hata ule msosi ile kitu inaweza kukutuma ufanye vitu sio kabisa.

Unaweza ukafanya vitu vya kifoo.
Hahaha me nikinywa ile natumia soda Tena nataka ile inayoganda Ganda, japo na yenyewe vibration lzm uisikie kichwani
 
Then, "unatamani sana pombe" kuliko kuacha. I tell you, "Ungetamani sana kuacha pombe" ungeacha.
 
Ewaaah Raha ya unywaji simu iwe full charge au una kitabu mimi ile kunywa naruka naanguka siwezi

zaidi sana napenda nione hao wanaocheza
Kabisa na ukinywa kwa makelele na ma vibe na walevi wengine lazima ugide kupitiliza ili uende nao sambamba , ushauri mzuri wa pombe apate kwa wanywa pombe na sio kwa walokole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ