Ni maamuzi tu wala hakuna haja ya kukaa mbali na wanywaji. Mimi nimekua toka mdogo nimezungukwa na walevi, wanywaji, wapiga vyombo, na wavuta sigara na bangi, class yetu olevel ilikua ya wapiga maji muda wote na mimi ndio nilikua nawapeleka vilabuni kupiga vyombo.
Nimefika advance mambo yalikua hayo hayo, tunatoroka kwenda kwenye vilabu vya pombe na washkaji, wanapiga wanazima nawakokita hadi bwenini, kote huko sijawahi kuigusa. Chuo kikuu the same, nikamaliza nikafanya kazi ya whole sales ya pombe za aina yote kwa bar na migahawa, nilikua nakesha bar, sijawahi kugusa.
Kwenye shughuli zangu za kila siku nimezungukwa wa walevi na wanywaji kila kona ila sijawahi kugusa.
Kunywa pombe, kuacha yote ni maamuzi, haihusiani kabisa na kwamba washkaji zako ni walevi basi na wewe unakua mlevi.
Hajaamua kuacha, akiamuq anaacha, ukiona anashindwa kuacha ni hajaamua.
Akiishiwa tunampa, yuko wapi kwani nimsendie kreti ahangaike nalo weekend.....Dr am 4 real PhD
Castle_Lite
Evelyn Salt
Huyu mwenetu eti anataka kuacha pombe 🤣 si bora aseme tu ameishiwa 😂😂😂
Bia ukshafungua dkk 10 nyingi ishapoa, sasa dkk 30 c akuw unakunywa mikojo?Bia moja angalau dakika 30 ndo iwe imeisha, mfano mimi nikiwa nacheki movie , kuperuzi jf na x , au kusoma kitabu cha hadithi , ndio unakuta naburudika na pombe yangu mdogo mdogo .
Haha Aisee ikifika asubui uwa tunajuta . Ulevi na Giza sijui vina uhusiano gani .Raha ya pombe uwe unajuta asubuhi alafu jioni unajipa pole na chupa kadhaa 🤣🤣🤣
Uzuri mmoja kama ananywea bar mpaka kutumia 100k kwenye pombe ni kiherehere chake tu kama anakunywa local bia hata 20 kuisha kwa mtu mmoja ni uongo , labda anajifanya pedeshee ndama mutoto ya ng'ombe.Akiishiwa tunampa, yuko wapi kwani nimsendie kreti ahangaike nalo weekend.....
Siwezi acha pombe kisa kupitiliza nikitoka na bajeti yangu haizid aani mambo ya kuzungukwa sjui na Hawa wanaojiuza hapana kwakweli,Kabisa na ukinywa kwa makelele na ma vibe na walevi wengine lazima ugide kupitiliza ili uende nao sambamba , ushauri mzuri wa pombe apate kwa wanywa pombe na sio kwa walokole
Basiiiiiiiiiii na hapo ndipo mnapofeli👐Kuna kanuni inaitwa ppt, people place
Bia ukshafungua dkk 10 nyingi ishapoa, sasa dkk 30 c akuw unakunywa mikojo?
Nimeshangaa hata akinywa imported km Heineken 4,000 sita zinamtosha mbnUzuri mmoja kama ananywea bar mpaka kutumia 100k kwenye pombe ni kiherehere chake tu kama anakunywa local bia hata 20 kuisha kwa mtu mmoja ni uongo , labda anajifanya pedeshee ndama mutoto ya ng'ombe.
Umecheki naniliuu ipo Salama? Maana hujui hata ulirudije gheto. Nikushauri tu usipoacha pombe utaishia gheto hadi uzeeni. Kuitwa Baba mwenye nyumba sahauWakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Kabisa , unakuta mziki wa hovyo kwenye spika zenye mende , mataa yana marangi ya hovyo , then mtu anagida local bia kwa fujo , hapo kashindia wali maharaka au chips kavu , lazima ulaumu pombe tuSiwezi acha pombe kisa kupitiliza nikitoka na bajeti yangu haizid aani mambo ya kuzungukwa sjui na Hawa wanaojiuza hapana kwakweli,
Me naona nipo tofaut sana na watu pengine 😂
sio kweli.Yesu mwenyewe demo ya kwanza inadaiwa aligeuza maji kuwa pombe
Mbona pombe Ina chemistry rahisi mnaendana tuu, huyo dogo jauKabisa , unakuta mziki wa hovyo kwenye spika zenye mende , mataa yana marangi ya hovyo , then mtu anagida local bia kwa fujo , hapo kashindia wali maharaka au chips kavu , lazima ulaumu pombe tu
Sawa schoolmate😅sio kweli.
Sisi Tunakataa hatuungi mkono hojaa.Dr am 4 real PhD
Castle_Lite
Evelyn Salt
Huyu mwenetu eti anataka kuacha pombe 🤣 si bora aseme tu ameishiwa 😂😂😂
Kabisa kijana ajifunze nidhamu asiache pombeSisi Tunakataa hatuungi mkono hojaa