Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

mkuu i am the same case as you...toka nikutoke....sadly huyu wangu bro hana mtoto wala nini..alafu hataki kujishugulisha..na nimsomi ana degree kabisa...ye nikukaa vilabuni full time ukimuona hata kama unataka mpa kazi unaweza ogopa..kazeeka kisa pombe..wameombea mpaka basi..sober kakaa mwaka hakunywa katoka ni kama kawaida tu yani
 
Powaaa
 
Kuna mate wangu mmoja naye alikuwa anakunywa sana akaamua kuacha pombe, kuna jamaa mmoja akampa dawa aliikunywa mara mbili akatapika toka siku hiyo mwaka jana July hadi leo jamaa hajawahi gusa pombe.....ukihitaji naweza nikakusaidia kumpata jamaa akupe dawa na unaacha kabisa
 
Njoo Kwa Mwamposa
 
Uzinzi umeacha kwanza huoo ndio Anza naoo
 
Vijana wengi mnakunywa pombe ivyo sababu mdinde umeme umekatika
 
Kuacha kwa haraka ni ngumu unaanza kupunguza mdogo mdogo
Akiamua anaacha hata mara moja bila kuanza kupunguza na ataweza,kama hapo huyo mshikaji wa kahama anaweza kutana naye na akasingizia ana dose ya dawa wakakaaa hata asinywe, siku nyingine ivo ivo mpaka anazoea
 
Mimi ulevi wangu ni mbususu nilikuwa nawez kustahimili week, Sasa hivi nimeshindwa ni kila baada ya siku moja, hapa nimetoka kuicheki pisi moja baadae nikaishi.

Sijui najinasuaje Kwenye huu ulevi, naombeni ushauri wenu🙏🙏
 
Anunue 2 ajifungie ndani? Akizinywa zikiisha atatoka mbio akanywe nyingi kuliko kawaida.

Ajifunze kutokunywa kabisa ndio pona yake
 
Ukiwa serious unataka kuacha pombe kitu cha kwanza badilisha mazingra. Kama unaweza hamia sehemu nyingine kabisa. Pili kata marafiki wote mnao kuywa pombe pamoja. Tatu tafuta kitu cha kufanya kwaajiri ya kujifurahisha ambacho ni mbadala . Yaani ulie mdaa unao endaga kuywa pombe utumie kufanya hicho kitu unacho kipenda. . Ukitaka ushauli zaidi ,uliza.
 
Zilimuua mwanangu Fulani, pande za mbeya mitaa ya Iganzo, baada ya mkewe kwenda kwa Mganga Ili amwekee jamaa aache pombe.
Hivyo sishauri hizi idea
Hizo huwa zinatolewa na mtaalam mwenyewe kwa uangalizi sio kienyeji enyeji

Maana zinahusisha kutapika


Ukipewa hizo siku ukitia pombe mdomoni utaisoma namba
 
Amua kutoka moyoni,hutokunywa tena pombe ,..........Ndege wafananao huruka pamoja hivyo epuka wanywaji na maeneo wanapouza pombe.
 
Nichek pm Ila stoi bure nimeandika mapema hapa kwa tahadhali nakama utaludia uje ufungue uzi uambatanishe na andiko hili kwamba killing machine alini tapeli

Sitoi bure inatosha kwa nilio wasaidia humu wakanitapeli Kama upo tayali kweli pm me
 
Hizo huwa zinatolewa na mtaalam mwenyewe kwa uangalizi sio kienyeji enyeji

Maana zinahusisha kutapika


Ukipewa hizo siku ukitia pombe mdomoni utaisoma namba
Mwamba alitapika mpaka akakata roho.

Sio hadithi ya kutunga hii nakuambia, anafikishwa hospital ya Rufaa mbeya, wakasema sababu ya kifo ni kanywa/kanyweshwa sumu.

Ni mwanangu sana tuliyekuwa tunapiga gambe wote Kule kwenye baa mama John, City lounge, Mwailubi, Kwa sanga mitaa ya ilemi, soko Matola , Hadi matako baa mbalizi.

Tumemzika huku hatuamini, na Jana kabla ya kifo chake alikuwa na wana maeneo yetu hayo ya viti virefu
 
Nitafute nikupe dawa ya kuacha pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…