Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

Hiyo roho yako ya kutamani pombe ifuate na usiache utafanikiwa.Kama unamwamini Mungu mwombe akupe nguvu ya kuacha
 
Tafuta mke uoe, awe anakuzuia kutoka toka, ule muda wa kwenda bar uwe unacheza cheza na watoto.
 

Tumia njia zilizosababisha ujifunze kunywa pombe ujifunze pia kuacha pombe.
100.0% ya wanywa pombe hufundishwa au huwaiga marafiki wao na hakuna MZAZI hata mmoja ulimwengu wa Leo anayefundisha MTOTO kunywa pombe. Hivyo achana na marafiki na watu wa karibu ambayo wanatumia pombe.
 
Acha kuwaza ujinga ww.
 
Akiamua anaacha hata mara moja bila kuanza kupunguza na ataweza,kama hapo huyo mshikaji wa kahama anaweza kutana naye na akasingizia ana dose ya dawa wakakaaa hata asinywe, siku nyingine ivo ivo mpaka anazoea
Haujawahi kuwa mraibu ndio maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…