Mi nlikutana na mchawi tena msichana ambaye hajaolewa. Usiombe kama huna nguvu za kichawi waweza kufa.
Masharti yake utayaweza kweli? Fanya hv chukua ndimu kubwa tatu kitambaa cha kaniki mita 3, jivu na ndala mbovumbovu
Subiri mpaka saasita kamili Usiku Uwe umeshafika mlango wa makaburi ya kinondoni
vua nguo zote jipakaze jivu mwili mzima vaa ndala zako ya kushoto kulia na kulia kushoto, kata ndimu zako pande mbilimbili, utakuwa na vipande sita, vipande vitatu vibane kwenye mfereji wa makalio viwili makwapani kimoja mdomoni ingia makaburini kinyumenyume
Utajikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa
Ukiweza hili nitakufundisha jinsi ya kuloga hata kuwa popobawa
ungewacheki kwenye kale kamsitu ka salenda kuanzia saa saba usiku, nimewahi waona hapo.
moyo ninao!
nipe direction hapa kinondoni niwashuhudie!