Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
hahahaaa!!! afu hivi vijamaa havinaga hata huruma!
lakini vikidondoka vinakuwa na nyuso za huruma kama nini sijui!
Masharti yake utayaweza kweli? Fanya hv chukua ndimu kubwa tatu kitambaa cha kaniki mita 3, jivu na ndala mbovumbovu
Subiri mpaka saasita kamili Usiku Uwe umeshafika mlango wa makaburi ya kinondoni
vua nguo zote jipakaze jivu mwili mzima vaa ndala zako ya kushoto kulia na kulia kushoto, kata ndimu zako pande mbilimbili, utakuwa na vipande sita, vipande vitatu vibane kwenye mfereji wa makalio viwili makwapani kimoja mdomoni ingia makaburini kinyumenyume
Utajikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa
Ukiweza hili nitakufundisha jinsi ya kuloga hata kuwa popobawa

jamani wadau nina hamu kubwa sana kukutana live na hivi viumbe hai vinavyoitwa wachawi!
kila siku navizia mida yao ya kuroga ambayo ni hii kuanzia saa sita lakini wapi!!!
nataka nivione uso kwa uso!
nasikia vikogo uchi, vimejipaka majivu, vinatembea kinyume nyume, havina huruma!!
kwa hapa dar es salaam especially kinondoni, wanapatikana wapi hawa?
mwenye namba zao aziweke jamvini tuwatafute hewani!!
we alikuwa mpole.......halafu macho yake yalikuwa mekunduuuuuu
mtu mwenyewe sasa mmmmh acha tu Excel
tutakutana baadae ntakuja hapo kwenye pembe ya kijichumba chako!
Kwa taarifa yako leo halali kwenye kajichumba kake.. belive me, si utakwenda !!! kesho tuhabarishe kama ulimkuta ha haa haaaaa chezea tekinologi ya kibantu weye..
njoo tupige story baby! ntakuwa mwembeni mzizini!
hahahaaa!! si alikufa baada ya jamaa kufa?
mi nilijua kabisa ni yule jamaa!
mie yangu ni zaidi ina mchanganyiko adimu..kesho atakuja kukusimulia