Nje ya topic.Pole.Sijui uwezo wako wa kufikri umeingia nini.
Sasa kama Rukwa pekee walihijati vituo 254 na nyie mmejenga vituo 98 na unaliteta hapa kama moja ya mafanikio, lazima uwe na mtindio wa ubongo maana nigekuita kipofu nigekupendelea! Ndio maana ni sawa na kusema hilo la nyumba za waalimu mahitaji 22,000 utekelezaji 1.36% yaani nyumba 300 mbona hilo hujalitaja?Rubbish.Uko nje ya topic yangu
Tandale one nadhani una mtindio wa ubongo..
Ingekuwa haikumbatii mafisadi, kusingekuewa na ufisadi in the first place!!Hivi unajua maana ya uongozi bora????????Serikali ingekuwa inakumbatia ufisadi leo hii kungekuwa na kesi mahakamani au uhuru wa magazeti kuyaongelea???Mitandao kama hii si ingeshafungwa???Punguza pumba.Fikiri kabla ya kusema.
tatizo la ccm and company wamezoea kuropoka tu na kusema nambari one na oyeeee!!!!Sasa kama Rukwa pekee walihijati vituo 254 na nyie mmejenga vituo 98 na unaliteta hapa kama moja ya mafanikio, lazima uwe na mtindio wa ubongo maana nigekuita kipofu nigekupendelea! Ndio maana ni sawa na kusema hilo la nyumba za waalimu mahitaji 22,000 utekelezaji 1.36% yaani nyumba 300 mbona hilo hujalitaja?
tatizo la ccm and company wamezoea kuropoka tu na kusema nambari one na oyeeee!!!!
Hawasemi ahadi ilikuwa nn na wametekeleza kiasi gani.........au pamoja na kutumia mipango ya serikali kujinadi, hawasemi plan ilikuwa nn na wametekeleza kwa kiasi gani. Nymbafu kabisa!!
Maisha bora ni nini???
Mkuu, hapa umeniwahi, nimesoma mara mbili nikajiuliza, ni mimi tu naona kama huu ni upupu au?TandaleOne,
Mkuu pamoja na kwamba hizo takwimu umenukuu labda nikuulize wewe ulotuwekea hapa, nategemea utatupa majibu..
- Kifungu A:- Kutoka mwaka 2005 hadi 2009, jumla ya zahanati 464, vituo vya afya 98
na nyumba za waganga 394 zilijengwa.
- Kifungu C na D:- Zahanati zimeongezeka kutoka 4,679 mwaka 2006 hadi 5,422 mwaka
2009. Vituo vya afya vimeongezeka kutoka 526 hadi kufikia 663 mwaka 2009.
Hapa mkuu wangu (C) huoni kama Zahanati zilizoongezeka ni 743 toka 2006 -2009, hali pale juu hesabu ya zilizojengwa toka 2005 mwaka mmoja nyuma zinaonesha kuwa ni idadi ya 464, na Vituo vya Afya (D) vimeongezeka 137 wakati vilivyojengwa ni 93... sasa tuchukue lipi au kuna maelezo ya kina kuhusu tofauti hizi.
Hao Madaktari na Wakunga waliingia shule mwaka gani?..bila shaka wangekuwepo hata kama angeongoza Mtikila miaka mitano iliyopita. Tupe ongezeko la wanafunzi ktk major hizo utawala wa JK tofauti na ule wa Mkapa.
Wala sintabisha kabisa kwani Watanzania wengi wanatazama namba za ongezeko kusifia vitu pasipo kupima.. Leo hii mtu anajisifia Ati Tanzania nzima tuna madaktari 4500 kwa kuzungumzia ongezeko hali nchi yetu ina population inayozidi millioni 40, hapa asipime kila daktari anahudumia watu wangapi (almost 9,000) na kusema duh ama kweli safari yetu bado kabisa badala yake anataka iwe sifa kubwa.Mkuu, hapa umeniwahi, nimesoma mara mbili nikajiuliza, ni mimi tu naona kama huu ni upupu au?
Kama kawaida...........hawasomi hawa!, hii ameinyofoa kwa document za ba**a wake alizofojiwa na wasaidizi wake kwa ajili ya kampeni.............2+2 = 22,
uu UJUHA ndo tusioutaka..........tandaleone and company = 8 X 8 - 64 = ?? weka jibu mwenyewe!!!
Wala sintabisha kabisa kwani Watanzania wengi wanatazama namba za ongezeko kusifia vitu pasipo kupima.. Leo hii mtu anajisifia Ati Tanzania nzima tuna madaktari 4500 kwa kuzungumzia ongezeko hali nchi yetu ina population inayozidi millioni 40, hapa asipime kila daktari anahudumia watu wangapi (almost 9,000) na kusema duh ama kweli safari yetu bado kabisa badala yake anataka iwe sifa kubwa.
Mimi nimebahatika daktari wangu alikuwa Bongo pale O'bay Hospital aki volunteer kwa miaka miwili na kanambia pasipo kuficha kwamba kati ya watoto wanaozaliwa nchini asilimia kubwa ambayo hawezi kukadilia wana Ukimwi. Yaani kila wazazi watano, watatu ni waathirika na hapa anazungumzia hospitali kubwa acha huko vijijini. Kwa maneno yake mwenyewe alisema Nguvu zilimwishia kabisa na alikuwa akishindwa hata kufikiri.
Leo mtu anakuja hapa na takwimu za kuokota ktk magazeti ati kutaka ku prove kile kisichokuwepo..
Ndiyo source mnazotumiaga kumbe?mkandara magazeti pia ni source ya information na unaweza kucite hapa omba radhi
CCM namba one
Ndiyo source mnazotumiaga kumbe?
Una-quote gazeti kwenye data ya HIV incidence and prevalence ? Just STF Up man!!!
Ingekuwa haikumbatii mafisadi, kusingekuewa na ufisadi in the first place!!
Wangekuwa hawakumbatii ufisadi, wasingewaambia wezi warudishe hela waloiba then wasamehewe.....bila kuwapeleka mahakamani wala kuwataja tukawajua.
Wangekuwa hawakumbatii ufisadi wasingetumia fedha nyingi kiasi tunachoona kwenye kampeni, kiasi wanachotumia ni kikubwa mno kiasi ambacho wangeweza kutatua matatizo ya madawati kwa shule zote!!
Piga hesabu ya gharama za mabango peke yake/........unajua bei ya kuweka bango moja kwa miezi miwili wewe? au ndo wale wale....t/shirt kofia na supu!!
tatizo la ccm and company wamezoea kuropoka tu na kusema nambari one na oyeeee!!!!
Hawasemi ahadi ilikuwa nn na wametekeleza kiasi gani.........au pamoja na kutumia mipango ya serikali kujinadi, hawasemi plan ilikuwa nn na wametekeleza kwa kiasi gani. Nymbafu kabisa!!
Yes CCM ni namba one kwa Ufisadi
namba one kwa wizi wa kura
namba one kwa kutumia ujinga wa watanzania kuendelea kuongoza
namba one kwa kupotosha ukweli
namba one kwa kulindwa na nguvu za giza
namba one kwa kuwa na vilaza
namba one kwa kuugua ugonjwa wa upungufu wa uono wa Kimaendeleo
namba one kwa kuwa na viongozi wasiokuwa na maono
namba one kwa kuifilisi nchi yetu
Yes CCM ni namba one kwa kuchukia ustawi wa taifa letu
etc
"We can't give this party to a man from nowhere.":becky:
"We can't give this party to a man from nowhere.":becky: