Elections 2010 Natamani sana mtu akanushe mambo haya kiuhalisia

Rubbish.Uko nje ya topic yangu
Sasa kama Rukwa pekee walihijati vituo 254 na nyie mmejenga vituo 98 na unaliteta hapa kama moja ya mafanikio, lazima uwe na mtindio wa ubongo maana nigekuita kipofu nigekupendelea! Ndio maana ni sawa na kusema hilo la nyumba za waalimu mahitaji 22,000 utekelezaji 1.36% yaani nyumba 300 mbona hilo hujalitaja?
 
Tandale one nadhani una mtindio wa ubongo..

Bora mtindio wa ubongo, angekuwa na mtindio wa ubonga asingetoa takwimu hizi hewa. Ana malazi sawa na yale yanayomkabiri mgombea wa CCM na Makamba, huu ni ugonjwa mpya unaitwa takwimuniosis
 
Hivi unajua maana ya uongozi bora????????Serikali ingekuwa inakumbatia ufisadi leo hii kungekuwa na kesi mahakamani au uhuru wa magazeti kuyaongelea???Mitandao kama hii si ingeshafungwa???Punguza pumba.Fikiri kabla ya kusema.
Ingekuwa haikumbatii mafisadi, kusingekuewa na ufisadi in the first place!!

Wangekuwa hawakumbatii ufisadi, wasingewaambia wezi warudishe hela waloiba then wasamehewe.....bila kuwapeleka mahakamani wala kuwataja tukawajua.

Wangekuwa hawakumbatii ufisadi wasingetumia fedha nyingi kiasi tunachoona kwenye kampeni, kiasi wanachotumia ni kikubwa mno kiasi ambacho wangeweza kutatua matatizo ya madawati kwa shule zote!!

Piga hesabu ya gharama za mabango peke yake/........unajua bei ya kuweka bango moja kwa miezi miwili wewe? au ndo wale wale....t/shirt kofia na supu!!
 
Sasa kama Rukwa pekee walihijati vituo 254 na nyie mmejenga vituo 98 na unaliteta hapa kama moja ya mafanikio, lazima uwe na mtindio wa ubongo maana nigekuita kipofu nigekupendelea! Ndio maana ni sawa na kusema hilo la nyumba za waalimu mahitaji 22,000 utekelezaji 1.36% yaani nyumba 300 mbona hilo hujalitaja?
tatizo la ccm and company wamezoea kuropoka tu na kusema nambari one na oyeeee!!!!

Hawasemi ahadi ilikuwa nn na wametekeleza kiasi gani.........au pamoja na kutumia mipango ya serikali kujinadi, hawasemi plan ilikuwa nn na wametekeleza kwa kiasi gani. Nymbafu kabisa!!
 
tandale one "jf is home to great thinkers" dont reduce us to below average thinkers.

Can you provide us with quantitative and qualitative analysis ya mafanikio ya ccm unayotaja hapo juu in relation to resources spent.

Baada ya kupitia nimegundua kuwa ume quote only quantitative narratives za madarasa, shule za msingi, sekondari, zahanati n.k.

Nafikiria utakubalina na mimi kuwa the only way kuyweza kupima mafanikio hayo qualitatively ni kwa kuzitumia huduma hizo iwe ni shule za msingi, sekondari za kata; zahanati za mitaani, vituo vya afya, hospitali n.k.

Kama mafanikio hayo yapo ni kwanini viongozi wote wa ccm hawapaeleki watoto wao katika shule hizo?

Kwanini hawatibiwi katika zahanati hizo?

Kwanini wake zao hawajifungulii katika zahanati, vituo vya afya na hospitali hizo?

Kwanini watoto wa viongozi wa ccm hawapandi daladala kwenda shule na kukumbana naadha ya makonda? Ni kwanini magari ya serikali yatumike kuwapeleka watioto wa vigogo shule?

Jibu ni moja tu, kuwa raslimali zilizotumika kuweka huduma hizo hazilingani na ubora wa miundo mbinu iliyojengwa na huduma zinazotolewa katika sehemu hizo

tatizo la ccm and company wamezoea kuropoka tu na kusema nambari one na oyeeee!!!!

Hawasemi ahadi ilikuwa nn na wametekeleza kiasi gani.........au pamoja na kutumia mipango ya serikali kujinadi, hawasemi plan ilikuwa nn na wametekeleza kwa kiasi gani. Nymbafu kabisa!!

Juzi mgombea wao kanichekesha kweli eti "Chagua CCM, CCM ni chama dume" so what?
 
Maisha bora ni nini???

Maisha bora you can feel when you live on it .

Maisha yamekuwa magiumu zaidi I can feel it.

Ukitaka zigezo cheki uchumi ,check bei za bidhaa kufananisha na kibato cha Mtz wa kawaida, check uhuma za jamii kama maji,umeme ,matibabu.
Usiweke orodha za shule inayotakiwa kuwa na walimu 20 inao wawili,usiweke orodha ya hospital bila dawa au daktali......
 
TandaleOne,
Mkuu pamoja na kwamba hizo takwimu umenukuu labda nikuulize wewe ulotuwekea hapa, nategemea utatupa majibu..

- Kifungu A:- Kutoka mwaka 2005 hadi 2009, jumla ya zahanati 464, vituo vya afya 98
na nyumba za waganga 394 zilijengwa.

- Kifungu C na D:- Zahanati zimeongezeka kutoka 4,679 mwaka 2006 hadi 5,422 mwaka
2009. Vituo vya afya vimeongezeka kutoka 526 hadi kufikia 663 mwaka 2009.

Hapa mkuu wangu (C) huoni kama Zahanati zilizoongezeka ni 743 toka 2006 -2009, hali pale juu hesabu ya zilizojengwa toka 2005 mwaka mmoja nyuma zinaonesha kuwa ni idadi ya 464, na Vituo vya Afya (D) vimeongezeka 137 wakati vilivyojengwa ni 93... sasa tuchukue lipi au kuna maelezo ya kina kuhusu tofauti hizi.

Hao Madaktari na Wakunga waliingia shule mwaka gani?..bila shaka wangekuwepo hata kama angeongoza Mtikila miaka mitano iliyopita. Tupe ongezeko la wanafunzi ktk major hizo utawala wa JK tofauti na ule wa Mkapa.
 
Mkuu, hapa umeniwahi, nimesoma mara mbili nikajiuliza, ni mimi tu naona kama huu ni upupu au?
Kama kawaida...........hawasomi hawa!, hii ameinyofoa kwa document za ba**a wake alizofojiwa na wasaidizi wake kwa ajili ya kampeni.............2+2 = 22,

uu UJUHA ndo tusioutaka..........tandaleone and company = 8 X 8 - 64 = ?? weka jibu mwenyewe!!!
 
Wala sintabisha kabisa kwani Watanzania wengi wanatazama namba za ongezeko kusifia vitu pasipo kupima.. Leo hii mtu anajisifia Ati Tanzania nzima tuna madaktari 4500 kwa kuzungumzia ongezeko hali nchi yetu ina population inayozidi millioni 40, hapa asipime kila daktari anahudumia watu wangapi (almost 9,000) na kusema duh ama kweli safari yetu bado kabisa badala yake anataka iwe sifa kubwa.

Mimi nimebahatika daktari wangu alikuwa Bongo pale O'bay Hospital aki volunteer kwa miaka miwili na kanambia pasipo kuficha kwamba kati ya watoto wanaozaliwa nchini asilimia kubwa ambayo hawezi kukadilia wana Ukimwi. Yaani kila wazazi watano, watatu ni waathirika na hapa anazungumzia hospitali kubwa acha huko vijijini. Kwa maneno yake mwenyewe alisema Nguvu zilimwishia kabisa na alikuwa akishindwa hata kufikiri.

Leo mtu anakuja hapa na takwimu za kuokota ktk magazeti ati kutaka ku prove kile kisichokuwepo..
 
mkandara magazeti pia ni source ya information na unaweza kucite hapa omba radhi
 
Ndiyo source mnazotumiaga kumbe?

Una-quote gazeti kwenye data ya HIV incidence and prevalence ? Just STF Up man!!!
 
CCM namba one

Yes CCM ni namba one kwa Ufisadi
namba one kwa wizi wa kura
namba one kwa kutumia ujinga wa watanzania kuendelea kuongoza
namba one kwa kupotosha ukweli
namba one kwa kulindwa na nguvu za giza
namba one kwa kuwa na vilaza
namba one kwa kuugua ugonjwa wa upungufu wa uono wa Kimaendeleo
namba one kwa kuwa na viongozi wasiokuwa na maono
namba one kwa kuifilisi nchi yetu
Yes CCM ni namba one kwa kuchukia ustawi wa taifa letu
etc
 
Ingekuwa haikumbatii mafisadi, kusingekuewa na ufisadi in the first place!!

Wangekuwa hawakumbatii ufisadi, wasingewaambia wezi warudishe hela waloiba then wasamehewe.....bila kuwapeleka mahakamani wala kuwataja tukawajua.

Wangekuwa hawakumbatii ufisadi wasingetumia fedha nyingi kiasi tunachoona kwenye kampeni, kiasi wanachotumia ni kikubwa mno kiasi ambacho wangeweza kutatua matatizo ya madawati kwa shule zote!!

Piga hesabu ya gharama za mabango peke yake/........unajua bei ya kuweka bango moja kwa miezi miwili wewe? au ndo wale wale....t/shirt kofia na supu!!

Gharama ya kutengeneza bango moja futi nanne kwa sita ni Tshs 1,200,000/- na kama wamepata punguzo la Asilimia 50 basi wamelipa Laki sita kwa kila bango. Mabango yaliyoko Dar pekee ni 130! Gharama za kuyatengeneza pekee ni tsh. 78,000,000/, jumlisha yaliyopelekwa mikoni nchi nzima halafu gharama za kuyaweka uone kinacho zungumzwa . Hayo ni mabango makubwa tu!!!!
 
tatizo la ccm and company wamezoea kuropoka tu na kusema nambari one na oyeeee!!!!

Hawasemi ahadi ilikuwa nn na wametekeleza kiasi gani.........au pamoja na kutumia mipango ya serikali kujinadi, hawasemi plan ilikuwa nn na wametekeleza kwa kiasi gani. Nymbafu kabisa!!

Acha ndoto
 
Yes CCM ni namba one kwa Ufisadi
namba one kwa wizi wa kura
namba one kwa kutumia ujinga wa watanzania kuendelea kuongoza
namba one kwa kupotosha ukweli
namba one kwa kulindwa na nguvu za giza
namba one kwa kuwa na vilaza
namba one kwa kuugua ugonjwa wa upungufu wa uono wa Kimaendeleo
namba one kwa kuwa na viongozi wasiokuwa na maono
namba one kwa kuifilisi nchi yetu
Yes CCM ni namba one kwa kuchukia ustawi wa taifa letu
etc

"We can't give this party to a man from nowhere.":becky:
 
Back
Top Bottom