Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Aisee, ila kiufupi kila mtu hutamani kile ambacho hana.
Nimewasikia wanaume wengi wa Kikristo wakitamani ndoa za Kiislam (nafasi ya kuoa wake wengi) na wanawake wengi wa kiislam wakitamani ndoa za kikristo (mume mmoja).
😀😀😀😀 lakini kweli
 
Sawa. lakini huo ndio ukweli.

"Na amani ya Mungu ikae miyoni mwenu"

Unamtumikiaje mungu ukiwa na majuto na magomvi.
Unaelewa nini unapoambiwa amani ya Mungu (roho) ikae pamoja nasi?
Nimekuita mzinzi nikiwa namaanisha nasirudi nyuma

"Avumiliaye hata mwisho ataokoka"

Hakuna anayeweza kuvumilia katika uasherati na uzinzi katika fungamanisho la ndoa ya dini ya kiislamu
Yakobo 1:12
Heri mtu asitahimiliye(avumiliaye) majaribu:kwa sababu akiisha kukubaliwa ataipokea taji ya uzima ,Bwana aliyowaahidia wampendao.
.
Katika kitabu cha Ayub 8:7 tunapata kujifunza habari za hukumu.
Inasema hutahukumiwa kwa kile ulichoanza nacho bali kile unachomaliza nacho.
.
Wewe umempenda mtu na ni mfuasi wa Kristo yani yeye anaishi ndani yako kakufanya hekalu lake kisha mna hitilafiana kwa unashindwa kutumia hekima ya Biblia kusuluhisha hilo badala yake unataka suluhu ya kuachana naye.
.
Mtu ajalibiwapo kamwe hamuachi Mungu wake!

Katika dini hii kuwa na wake 2-4 sio uzinzi (kumbuka haya ni matakwa ya dini husika.

" Mkirifunga duniani limefungwa mbinguni na mkilifungua dunia limefunguliwa mbinguni"

Dini ikisema dhambi ni dhambi hata kama Mungu akusema.
Wewe ni mzinzi usingalikuwa mzinzi ungefuata mafundisho ya Biblia yanatuongoza vizuri kabisa namna gani tunaweza kuishinda tamaa na uzinzi
 
Uliandika vizuri ila kuna haya ukapotoka vibaya mno.......

Nahisi hujui machoko yako wapi asilimia kubwa!!

MashineNene[emoji533][emoji1646]
 
Naona umehusianisha sana ndoa na mambo ya kiimani, sina hakika na ubora au ubaya wa ndoa unahusiana na dini, ndoa ilikuwapo hata kabla ya mapokeo ya dini na ilidumu si sababu ya dini fulani bali misingi ambayo hujaizungumzia.

Vivyo hivyo, sijui umepataje usahihi wa tafiti na hizo takwimu zako ambazo unajaribu kutuaminisha.

Kama unaona imani fulani changamoto ipo ndoa ya kiserikali/bomani kwa hoja zako hii inakufaa zaidi, maana hizi za kiimani huziwezi baada ya kuchagua ukristo halafu kumbe unapenda uislamu.

Mbali na hayo, kumbuka uislamu au ukristo ni maisha kwa ujumla si tu ktk nyanja ya ndoa.

Yawezekana unakubali uislamu ktk suala la ndoa halafu haukubali ktk masuala mengine, hapo sasa ni changamoto, inapaswa utenganishe kati ya ndoa na imani kama unashindwa kuhuianisha ndo maana kuna machaguo mengi ya ndoa yasiyohusisha imani mfano ndoa ya kiserikali.

Tatizo unakanganywa na imani mnoo sasa ungefunga ndoa ya kiserikali ili kulinda chaguo lako sahihi la imani yaani ama ungekuwa Mkristo bora au muumini wa bora wa imani nyingine yoyote, mwisho wa siku ili ndoa asiathiri imani yako.
 
Mkuu ukae ukijua kwamba ndoa au kuoana ni utamaduni wa waislam. Wanamfuata kiongizi wao mtume. Wakristo wanaoana wanamfuata nani wakat yesu hakuoa? Ndio maana wakristo wanabuni buni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa haikuweka na Yesu,wala nabii yoyote yule ndoa iliwekwa na Mungu wakati Mungu alipo muumba mwanamke kutoka katika UBAVU wa mwanaume.

Mungu mwenyewe alisema nendeni mkaijaze dunia (hii kauli ndio ndoa ).
 
Inamnufaisha kimwili mwanaume,ila inawaumiza sana wanawake na watoto.
 
Ndoa haikuweka na Yesu,wala nabii yoyote yule ndoa iliwekwa na Mungu wakati Mungu alipo muumba mwanamke kutoka katika UBAVU wa mwanaume.

Mungu mwenyewe alisema nendeni mkaijaze dunia (hii kauli ndio ndoa ).
Acha porojo. Kwani wanaozaa waote hapa duniani wamefunga ndoa? Ndoa na kuzaa ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kuja!.


14 Mimi nimewapa neno lako; na ulimwengu umewachukia; kwa kuwa wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.
Yohana 17:14

16 Wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.
Yohana 17:16


Umewaona wafuasi wa Yesu a.k.a Wakristo kuwa na wao si waulimwengu huu?.

Sasa jibu swali langu nililokuuliza:-

Yesu hakuoa, wewe kwa nini uoe?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeremia hakuwa MKRISTO,vipi wewe unayejiita MKRISTO umfuate tena Yeremia?.[emoji102][emoji102][emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona unaenda out of topic hapa tunaongealea swala la kusema kwamba kwenye ukristo kuna ndoa za jinsia moja, ndo nataka mniambie hizo ndoa za jinsia moja kwenye ukristo ziko kwenye andiko lipi? na kanisa lipi?
Rudi kwa topic bro.Topic inaeleza Ubora wa ndoa ya kiislam dhidi ya ndoa ya kikristo.

Tuendelee sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gibberish comment.
Ukiwa mfuasi wa Yesu unakuwa unafuata mafundisho yake.
.
Muhubiri 4:9 ni heri kuishi wawili kuliko mmoja.
1wakorintho 7:9 ni heri kuoa kuliko kuwaka tamaa.
.
Hii ndiyo Biblia
 
1 Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
Mambo ya Walawi 20:1

10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Mambo ya Walawi 20:10



Sheria inasema "WOTE WAUAWE" kwa akili yako ilikuwa siyohatia kutaka kumuua mwanamke peke yake bila mwanaume?.


Na ndiyo maana andiko linaanza na tahadhari hii:-

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
Yohana 8:6


Kurupuka Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo. Kwani wanaozaa waote hapa duniani wamefunga ndoa? Ndoa na kuzaa ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa na kuzaa ni vitu vinavyoenda sawa,Mungu anataka ianze ndoa alafu waje watoto wapatikane ndani ya ndoa ndio dhumuni la Mungu.Kitendo cha kuzaa alafu hamjafunga ndoa mbele za Mungu ni dhambi.

Kijana ndoa Mungu aliweka kipindi akimuumba mwanamke,yaani ubavu mmoja wa mwanaume ,ukamuumba mwanamke mmoja so kitendo hiko kinaonyesha ndoa ya kwanza aliifungisha mwenyewe mwenyezi Mungu kwa kuchukua ubavu wa Adamu na Kumumba Hawa na hapo ndipo Mungu aliweka azimio la ndoa na ndipo aliwambia enendeni duniani mkaijaze dunia.

Hawa viongozi wa dini wanakuwa kama mabalozi wa Mungu,lkn ndoa yenyewe anaifungisha Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…