Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Wewe kweli Kigoda.
Umeleta Torati na injili.
Unafahamu Yesu alizungumza nini kuhusu kuua wazinzi?
.
Injili inasema hivi
YOHANA 8:3-11
Waandishi na Mafarisayo wakamletea Mwanamke Aliyefumaniwa katika Uzinzi, wakamweka katikati. Wakamwambia, Mwalimu, Mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Basi katika Torati Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe Wanawake namna hii; nawe wasemaje? Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate nafasi ya Kumshtaki. Lakini YESU akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi, nao walipozidi kumhoji alijiinua na kuwaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumtupia jiwe. Akainama tena, Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamira zao tena, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki YESU peke yake na yule Mwanamke amesimama katikati. YESU akajiinua asimwone mtu ila yule Mwanamke akamwambia Mwanamke, Wako wapi wale washitaki wako? Je, hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia? akamwambia hakuna, Bwana YESU akamwambia wala Mimi sikuhukumu, Enenda zako; wala usitende dhambi tena
.
Niambie sheria ya dini yenu inasema nini kuhusu uzinzi
 
Gibberish comment.
Ukiwa mfuasi wa Yesu unakuwa unafuata mafundisho yake.
.
Muhubiri 4:9 ni heri kuishi wawili kuliko mmoja.
1wakorintho 7:9 ni heri kuoa kuliko kuwaka tamaa.
.
Hii ndiyo Biblia
Bro achabasi hizo!.

Yaani mafundisho ya muhubiri ndiyo mafundisho ya Yesu pia?.

Yaani mafundisho ya Paul kwa Wakorintho ndiyo mafundisho ya Yesu pia?.

Ebu eleza vizuri bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuuliza swali umeshindwa kulijibu badala yake unarudia kile kile kilichozalisha swali.

Narudia tena swali lile lile :-

Sheria inataka wahusika wote wa uzinzi wauawe.
Je,hao jamaa zako walipompeleka mwanamke peke yake bila ya mwanaume aliyezini naye,hawakuwa na hatia kwa kumpeleka mwanamke peke yake?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu la swali lako ni hili hapa naona unajifanya kipofu.
YOHANA 8:3-11
Waandishi na Mafarisayo wakamletea Mwanamke Aliyefumaniwa katika Uzinzi, wakamweka katikati. Wakamwambia, Mwalimu, Mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Basi katika Torati Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe Wanawake namna hii; nawe wasemaje? Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate nafasi ya Kumshtaki. Lakini YESU akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi, nao walipozidi kumhoji alijiinua na kuwaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumtupia jiwe. Akainama tena, Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamira zao tena, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki YESU peke yake na yule Mwanamke amesimama katikati. YESU akajiinua asimwone mtu ila yule Mwanamke akamwambia Mwanamke, Wako wapi wale washitaki wako? Je, hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia? akamwambia hakuna, Bwana YESU akamwambia wala Mimi sikuhukumu, Enenda zako; wala usitende dhambi tena
.
Niambie sheria ya dini yenu inasema nini kuhusu uzinzi.
.
SOMA UELEWE NA UJIFUNZE JE UKRISTO UNA SHERIA (TORATI)?
 
Bro achabasi hizo!.

Yaani mafundisho ya muhubiri ndiyo mafundisho ya Yesu pia?.

Yaani mafundisho ya Paul kwa Wakorintho ndiyo mafundisho ya Yesu pia?.

Ebu eleza vizuri bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unafikiri mafundisho ya mtume paulo kwa Kanisa ni mafundisho ya nani?
.
Habari za Muhubiri nimefanya kama rejea kwamba tangu kale miaka zaidi ya 3000 kabla ya ujio wa Kristo kulikuwa na andiko hilo
 
Kristo = Nomino.

Ukristo = ni kufuata desturi na mienendo ya Kristo.

Mkristo = ni mfuasi wa Kristo.

Karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kristo = masihi au mpakwa mafuta.
Ukristo = Uteule ma ufuasi wa Yesu mwana wa Mungu aliye hai.
.

Sasa kazi ya Kristo ulimwenguni unaijua?
Kazi ya Yeremia ulimwenguni unaijua?
 
Bro mimi huwa siwaachi mchezee maandiko ya Mungu kwa kuleta ujanja ujanja.

SHERIA YASEMA HIVI:-

10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Mambo ya Walawi 20:10

Sheria inasema "WOTE WAUAWE" kwa akili yako ilikuwa siyohatia kutaka kumuua mwanamke peke yake bila mwanaume?.

BRO ACHA UBABAISHA LETA MAJIBU.Kwa maana haiwezekani tuipindishe SHERIA makusudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unafikiri mafundisho ya mtume paulo kwa Kanisa ni mafundisho ya nani?
.
Habari za Muhubiri nimefanya kama rejea kwamba tangu kale miaka zaidi ya 3000 kabla ya ujio wa Kristo kulikuwa na andiko hilo
Paul anajibu yeye mwenyewe:-

16 katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.
Warumi 2:16

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kristo = masihi au mpakwa mafuta.
Ukristo = Uteule ma ufuasi wa Yesu mwana wa Mungu aliye hai.
.

Sasa kazi ya Kristo ulimwenguni unaijua?
Kazi ya Yeremia ulimwenguni unaijua?
Bro Kristo ni jina,na ulichoweka wewe ni tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili.

Unawezaje kuwa mfuasi wa Kristo hili hali umfuati njia zake?.

Kazi ya Yesu(Kristo) ni :-

1 Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe;
Yohana 17:1

2 kama vile ulivyompa mamlaka juu ya wote wenye mwili, ili kwamba wote uliompa awape uzima wa milele.
Yohana 17:2

3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Yohana 17:3

4 Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
Yohana 17:4

6 Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika.
Yohana 17:6

7 Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako.
Yohana 17:7

8 Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; nao wakayapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakasadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
Yohana 17:8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni assumption zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuuliza maana ya Ukristo sikukuuliza maana ya Kristo.
Kwa kujitia kwako kiherehere kwamba unajua sana ukajibu Kristo na Ukristo.
.
Nikaamua kukupa maana kamili ili nisikuache upotee.
Huwezi kuulizwa maana ya Bethlehem au Nazareth ukajibu ni (Nomino) huu ni ujinga wa madrasa.
.
Sisi ni wafuasi wa Kristo na tunafuata mafundisho yake, hakuna mahala Kristo alitutaka tusioe
 
Ukristo una sheria kama hizo?
Nionyeshe Yesu Kristo alikofundisha tuwauwe wazinifu kama hakupo kaa kimya
 
Kwenye uislam hakuna ndoa bali ni uasherati tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…