Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Kuoa wake wengi hiki kitu huwa sikubaliani nacho. Kwa sababu tu huwa ni ngumu kutenda haki sawa kwa kila mke na watoto ulionao. Hapo ndio shida zinapoanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza kupaniki bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787].


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wewe ulisema eti Yesu hakuoa kwa kuwa yeye si waulimwengu huu!.

Nami nikakuonesha kuwa hata wafuasi wa Yesu pia si waulimwengu huu kama lisemavyo andiko.

Sasa jibu swali langu nililokuuliza"KWA NINI WEWE UNAOA KINYUME NA YESU MWENYEWE NA WAFUASI WAKE?.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukristo una sheria kama hizo?
Nionyeshe Yesu Kristo alikofundisha tuwauwe wazinifu kama hakupo kaa kimya
Yesu alisema hivi juu ya SHERIA:-

17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
Mathayo 5:17

18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
Mathayo 5:18

19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
Mathayo 5:19


Unanipata vizuri lakini bro?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…