Natamani sana zali la Coronavirus linipate

Mzuka wanajamvi

Mimi sinaga bahati kabisa. Tangu outbreak wa hili gonjwa hatarii nimekuwa kwa maksud nashindilia na kubughia minofu na supu ya popo mfululizo lakini wapi ndio kwanza afya yangu inaimarika.

Kutokana na kujaliwa na perfect genes na strong body immune system niliorithi kwa mababu zangu Neanderthals sitaki kubweteka ndio maana natamani zali la Coronavirus linipate, hili nifanye tafiti ya body system yangu je inaweza kuimili hii mikikimikiki ya Magonjwa hatarii ikiwemo Ebola?

Pia licha ya iyo yote nikuacha Legacy. Yani Corona Virus imetrend kwenye current affairs news na kucover almost all headlines and breaking news, yani inipite hivihivi kizembe bila kuipata? Maamaee HAIWEZEKANI!

Maexperience, fursa na zali kama haya niyakuyachangamkia maadam yanapokua hot trending na kuacha alama ya kudumu katika historia.

Mwanaume hutakiwi kuwa muoga unatakiwa kuwa risktaker. Magonjwa ambayo siyo ya kutamani ni yale tu yanoyaathiri nguvu za kiume tu.

Huku kula nyama na supu ya popo kila siku nimeona imeshindikana. Sasa ni kwenda Wuhan China kwa lazima kuifwata. Hamna namna!
Uko China? Fursa iko huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi pata hilo gonjwa, labda ukaungane na wale washenzi wanaotesa waislamu na kuwauwa. Nchi nyingi tu baadhi yao wameathirika na corona lakini umeckia hata mmoja amekufa? Hii huenda ikawa adhabu ya Allah kwa unyama wanaoufanya. Sasa na wewe fanya hivyo utakipata ukitakacho mjomba
 
Mzuka wanajamvi

Mimi sinaga bahati kabisa. Tangu outbreak wa hili gonjwa hatarii nimekuwa kwa maksud nashindilia na kubughia minofu na supu ya popo mfululizo lakini wapi ndio kwanza afya yangu inaimarika.

Kutokana na kujaliwa na perfect genes na strong body immune system niliorithi kwa mababu zangu Neanderthals sitaki kubweteka ndio maana natamani zali la Coronavirus linipate, hili nifanye tafiti ya body system yangu je inaweza kuimili hii mikikimikiki ya Magonjwa hatarii ikiwemo Ebola?

Pia licha ya iyo yote nikuacha Legacy. Yani Corona Virus imetrend kwenye current affairs news na kucover almost all headlines and breaking news, yani inipite hivihivi kizembe bila kuipata? Maamaee HAIWEZEKANI!

Maexperience, fursa na zali kama haya niyakuyachangamkia maadam yanapokua hot trending na kuacha alama ya kudumu katika historia.

Mwanaume hutakiwi kuwa muoga unatakiwa kuwa risktaker. Magonjwa ambayo siyo ya kutamani ni yale tu yanoyaathiri nguvu za kiume tu.

Huku kula nyama na supu ya popo kila siku nimeona imeshindikana. Sasa ni kwenda Wuhan China kwa lazima kuifwata. Hamna namna!
Hiyo bangi ulovuts siyo ya dunia hii
 
Mume wa dada yako anakupa kiburi sana mpaka unafungua uzi wa kujimwambafai ukiwa kwenye sofa la shemeji yako

Bange mbaya sana
 
Back
Top Bottom