Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Ndugu najua kabisa mtashangaa ni kwanini hawa wawili au wengine mtasema ni promo au kujitoa akili ila ndivyo ilivyo.

Siku moja natamani sana Depal au Leejay49 awe mama watoto wangu msiniulize ni kwanini.
Umewahi kuwaona?Inaonekana huwa hadi unaumba wajihi wao mawazoni mwako.Ni jambo jema kama huwa unawapatia na upotofu kama huwa unawakosea kuwaumba kifikra.Na ninaamini,kadiri member anavyoona na kusoma komenti za member mwingine humu huwa anajengewa hadi muonekano halisi.
 
Back
Top Bottom