Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Ndugu najua kabisa mtashangaa ni kwanini hawa wawili au wengine mtasema ni promo au kujitoa akili ila ndivyo ilivyo.

Siku moja natamani sana Depal au Leejay49 awe mama watoto wangu msiniulize ni kwanini.
ni sawa,
si ni Jambo la kukubaliana tu 🐒

Muhimu tu ifanyike sasa, bado mngali wa motro motro, msichelewe sana hadi uzeeni kila mtu amejichokea sasa eti ndio muungane 🐒

Mambo ni sasa, kama sio sasa ni sasahivi 🔥

nawaombea baraka na neema tele mfikie muafaka mwema kwa upendo 🐒
 
ni sawa,
si ni Jambo la kukubaliana tu [emoji205]

Muhimu tu ifanyike sasa, bado mngali wa motro motro, msichelewe sana hadi uzeeni kila mtu amejichokea sasa eti ndio muungane [emoji205]

Mambo ni sasa, kama sio sasa ni sasahivi [emoji91]

nawaombea baraka na neema tele mfikie muafaka mwema kwa upendo [emoji205]
Amina
 
Wenzako wanaanza na mmoja, wewe unapiga double at once

Ndiyo mnataka Wazee tupigwe na baridi la upweke hadi tukufe

I wish I could be 25yrs now 😜
A ha ha ha Lamomy nijirani yangu huyu, niliomba anipangishe chumba kwake akakataa kuwa ntamsumbua lakini nikisu hatari , nampenda kinoma nimepanga jirani na nyumba yake . Unique Flower yeye nimgomvi magomvi kidogo kwahio nikiwa nahawa wawili package imekamilika. Wewe mpwa wangu, nasubili ukichukua NSSF ndio nijisogeze.
 
Back
Top Bottom