Natamani siku moja itokee nikutane na Imani rubaba tufanye naye interview kuhusu kilimo na ufugaji

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Wakuu wasaalam.

Huyu jamaa wa kuitwa Imani rubaba nahitaji itokee siku moja tu tukae nae masaa2 tu tukifanya naye interview.

Kwanini Imani rubaba?

Ukisoma mabandiko yake hapa Jf utangudua jamaa hajui kuhusu kilimo na pengine hata shamba hana hali kadhalika kwenye mifugo.

Ni mzee wa kurahisisha sana na kuona sisi tunao fuga na kuishia kupata chini ya mahesabu yake (yasiyokuwepo) tunajiona tunaigiza tu.

Hivyo natamani sana tuhojiane nae na atuonyeshe mashamba yake na mifugo yake.


Sina mengi zaidi.

 
huyu mtaalamu wa kilimo cha WHATSAPP
halafu ili uingie kwenye magrupu lake lazima ulipe 30k kwa mwaka
sasa akipata washamba 1,000 kuna haja gani ya yeye kulima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…