Somo hili linatoa mwongozo wa vitendo kuhusu ufugaji wa samaki wa kisasa ili kuongeza uzalishaji na kupata faida kubwa. Mafunzo yamegawanyika katika hatua 8 kuu:
1. Utambulisho wa Ufugaji wa Samaki
Lengo: Kutoa elimu ya vitendo ya ufugaji wa samaki ili kuboresha maisha na kuongeza kipato cha...
Nimeona vijana wakipambana kusoma course mbali mbali, believe me hapa Tanzania hakuna course yoyote utasoma ujiajiri, hakuna na ukifanikiwa kujiajiri inabidi ukaze hasa.
Sio mbaya lakini Data science and artifical intelligence, mining engineer, course za art zote (uwezi kujiajiri hata mmoja)...
VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe
Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha.
Ukweli ni kwamba wengi wetu tunasubiri muda mzuri, mtaji mkubwa au mtu wa kutushika mkono. Lakini muda mzuri hauji wenyewe...
Wakuu wasaalam.
Huyu jamaa wa kuitwa Imani rubaba nahitaji itokee siku moja tu tukae nae masaa2 tu tukifanya naye interview.
Kwanini Imani rubaba?
Ukisoma mabandiko yake hapa Jf utangudua jamaa hajui kuhusu kilimo na pengine hata shamba hana hali kadhalika kwenye mifugo.
Ni mzee wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.