Course ya kilimo na ufugaji wa vitendo ndio elimu pekee ya kumkomboa mtoto wako

Course ya kilimo na ufugaji wa vitendo ndio elimu pekee ya kumkomboa mtoto wako

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Nimeona vijana wakipambana kusoma course mbali mbali, believe me hapa Tanzania hakuna course yoyote utasoma ujiajiri, hakuna na ukifanikiwa kujiajiri inabidi ukaze hasa.

Sio mbaya lakini Data science and artifical intelligence, mining engineer, course za art zote (uwezi kujiajiri hata mmoja), computer science and the like kujiajiiri kwake ni ngumu that's why unakuta vijana wako desperate sana kwenye baada ya kuhitimu, kuna graduate amesoma microbiology n.k hana kazi au mchongo zifuatazo ni course ambazo akisoma anapata chance ya kujiajiri moja kwa moja.

1.kilimo na ufugaji, though kijana anaweza akawa hana mtaji lakini ujuzi ukikutana na mtaji huyu kijana hatakamatika ng'ombe mzuri wa maziwa anatoa litre 15 kwa siku (ujuzi ukikutana na mtaji ni rahisi kujiajiri)

2.fundi umeme wa magari, ukiwa vizuri ni rahisi kupenetrate kwenye soko, soko bado linahitaji mafundi wanaojua kazi sio kubahatisha.

3. Electronics engineering
Hapa jikite kujua vifaa vyote vya umeme, ujue jinsi ya kurepair simu,TV,laptop and other electronic gadget weka center ukiwa vizuri kazi zitakumaliza.

Sasa wewe nenda kasome psychology hawajawahi kuajiriwa tokea course ianzishwe.

Nb anayepanga ni Mungu, soma chochote utachofeel kwako ni sawa.
 
Back
Top Bottom