Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Nina imani kubwa sana na uongozi wa Jamii forum na ninadhani imani yangu inaweza ikawa kubwa kuliko ilivyo sasa.
Sijawahi kujuta kuwa mwanachama wa jamii hii pana yenye muono wa aina yake katika kuibua mwamko kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Nimejifunza mengi sana humu ambayo ni faida siyo kwangu tu ila hata kwa jamaa ninaokaa nao.
Ninachokimini ni kwa katika majukwaa ya kimitandao ya kijamii yaliyopo Nchini Jamii forum ni jukwaa maridhawa sana na ni jukwaa lilopitia vipindi kadhaa vyenye makumbo tofauti tofauti ya wakati jambo linalolifanya jukwaa hili nakumbuka historia yake kama njia mojawapo ya kukabiliana na changamoto inazokutana nazo.
Jina Jamii forum halijaacha chembe ya kutosadifu na kuukilia yanayofanyika katika jukwaa hili muhimu kwa wengi.
Matumizi ya teknolojia kuhabarishana leo yanakwenda sambamba na inuko la uchumi huku ukizingatia Azimio la "Kutomuacha yeyote nyuma"
Natamani muundo mzima wa majukwaa madogomadogo yaliyopo ndani ya Jamii forum yaangalie kumbe la wakati lilivyo na mahitaji yake. Leo kila kitu inaweza kutumika kuondoa ujinga, maradhi na umasikini endapo teknolojia kutumika vizuri.
Simaanishi kwa kubadili hulka na pendeleo zetu na tujadili mambo ya namna moja tu la Haha! mijadala niendelee na itie radha zaidi ya ulimwengu wa kidigitali ili kufanya Tanzania kuonja matunda ya "silicon valley".
Natamani tuumize vichwa wote na siyo viongizi wa JamiiForums peke yao juu ya kuhakikisha JamiiForums inatupitisha kwenye "silicon valley"kwa pamoja.
Ninaamini hivyo.
Victor