Natamani sisi wapenzi wa Pan-Africanism timu yetu iamke upya, na Red Star nayo iamke upya

Natamani sisi wapenzi wa Pan-Africanism timu yetu iamke upya, na Red Star nayo iamke upya

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Sisi tuliokuwa wapenzi wa Pan-Africanism ndio tuliokimbilia Yanga, baada ya timu yetu kuonyesha kutokuwa na future na mipango madhubuti ya kimichezo. Natamani timu hii ikiwa na pacha wake nyota nyekundu zipate mfadhili wa kuziamsha, maana kama ni mashabiki wanao wa kutosha.

Maana waliokuwa mashabiki wa nyota nyekundu nao kwa wakati ule walikimbilia Simba butu, hii iliyopigwa mbili hivi punde hata machungu ya dose hayajaisha. Kwa sasa sifahamu hizi timu zipo wapi au pengine haipo kabisa lakini kwa asilimia mia moja timu hizi zinamashabiki lukuki mpaka leo hii. Kwa hali na kwa jinsi upepo unavyoonyesha, si muda mrefu sana na kwa vision niionayo aliyonayo Dewji wa Simba anataka tanzania iwe hub ya mchezo huu africa kwa kusajili wachezaji toka pande zote za dunia.

Dunia siku moja iwe inaiangalia tanzania kama UK, kwa juhudi na jitihada tutafanikiwa siku moja. Michezo ni fursa, michezo ni uchumi mpana kabisa.
 
Pan africa bado ipo daraja la kwanza ila red star imepotea mazima
 
YEEEES,LICHAMA LETU PAN AFRICAN NIPO,INGAWA VIONGOZI WAMELALA HAWATAFUTI WANACHAMA.
Hii Timu si ya kutafuta wanachama ni ya kuamsha tu iweke moto,baadhi kwa kukosa pa kushika ndio tukaingia yanga kaka.
 
Back
Top Bottom