Zitto hana cha kuwafundisha CHADEMA, labda usaliti? Maana alifukizwa CHADEMA kwa tuhuma hizo.Nikiangalia fact anazoongea zitto kabwe natamani vijana wa chadema wangejifunza kwa zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema
"Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele"
Zitto amewaasa wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza
Bila Shaka hii post hata wewe hujaelewa ulichoandika,Nikiangalia fact anazoongea zitto kabwe natamani vijana wa chadema wangejifunza kwa zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema
"Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele"
Zitto amewaasa wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza
Nikiangalia fact anazoongea zitto kabwe natamani vijana wa chadema wangejifunza kwa zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele"
Zitto amewaasa wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza