Tulia ni mwanafunzi wa Issa ama hujui?Dr Tulia akson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lisu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Fereshi anasema hakuna vyenya kasoro.
Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani Yuko sahihi. Ila ukizinhatia Tulia ni mwl wa lisu. Kabudi ni mwl wa Shivji nk.
Naomba mtanange uandaliwe tuone jinsi Tulia atakavyowatoa mbio.
Huyu ndiyo awatoe mbio wakina Shivji![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dr Tulia akson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lisu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Fereshi anasema hakuna vyenya kasoro.
Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani Yuko sahihi. Ila ukizinhatia Tulia ni mwl wa lisu. Kabudi ni mwl wa Shivji nk.
Naomba mtanange uandaliwe tuone jinsi Tulia atakavyowatoa mbio.
Sidhan kama unaweza kua think tank hata kweny kikao cha walevi!!Dr Tulia akson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lisu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Fereshi anasema hakuna vyenya kasoro.
Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani Yuko sahihi. Ila ukizinhatia Tulia ni mwl wa lisu. Kabudi ni mwl wa Shivji nk.
Naomba mtanange uandaliwe tuone jinsi Tulia atakavyowatoa mbio.
NB. Lisu ana gpa ya 3.6. Shivji ana gpa ya 3.8. Tulia ana gpa ya 4.5 na kabudi ana gpa y 4.9. huu mtanange tujue nani mbabe
Huyu ndiyo awatoe mbio wakina Shivji![emoji178
Kwa gigezo Gani. Mana amewafundisha akina lisuKati ya hao uliowataja,tulia ndiye kalaza wa mwisho.
Naihurumia shingo yako, imebeba tofali!Kuwa mwanasheria ni jambo moja ...na kuwa mwanasheria wa biashara na mikataba ni Jambo lingine...
Shivji ni more of a political scientist than a corporate lawyer...
Ndo maana wenzetu Wana somea specific law degree kwenye industry husika...kuna mpaka Entertainment lawyers....
Sisi mtu kasomea Criminal justice....anaenda YouTube kujifanya Mtaalam wa " law in International investment"...mradi kaitwa mwanasheria basi anajua "kila kitu"..
Ndo maana upumbavu ni mwingi sana hata Kwa unaofikiri ndo wasomi
Kabudi ni mdogo kwa Shivji kiumri, hawezi kuwa Mwl wa Shivji. Shivji ameandika vitabu na machapisho ya kisheria zaidi ya 300. Afrika hakuna. Infact Shivji alitakiwa apewe DLitt.Dr Tulia akson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lisu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Fereshi anasema hakuna vyenya kasoro.
Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani Yuko sahihi. Ila ukizinhatia Tulia ni mwl wa lisu. Kabudi ni mwl wa Shivji nk.
Naomba mtanange uandaliwe tuone jinsi Tulia atakavyowatoa mbio.
NB. Lisu ana gpa ya 3.6. Shivji ana gpa ya 3.8. Tulia ana gpa ya 4.5 na kabudi ana gpa y 4.9. huu mtanange tujue nani mbabe
Ahahahaha Mimi mwenyewe nimeshangaaKabudi ni Mwalimu wa Shivji???
Upo sahihi...jamaa kapuyanga kidogo.Naihurumia shingo yako, imebeba tofali!
Hebu tuambie, umeweza kujibu kwa vifungu vya sheria hoja ngapi alizotoa Prof. Shivji jana?
Ajabu, wewe layman, kwasababu tu unajua wapo wanasheria wanao specialise kwenye specific field, basi ndio unajiona una mandate ya kupinga nondo alizotoa Prof. Shivji jana, usijue wapo manguli competent in more than one field.
Hujui pia, mwanasheria anaweza akawa ame- specialise kwenye field moja, lakini pia akawa anazifahamu A,B,C's za field nyingine, na hiyo itamtosha kuonesha njia.
Hujui kitu.
Hata kuelewa mtu alichoandika huwezi....wapi nimemtaja Shivji?..Naihurumia shingo yako, imebeba tofali!