Dr. Tulia Ackson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lissu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Feleshi anasema hakuna vyenya kasoro.
Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani yuko sahihi. Ila ukizingatia Tulia ni Mwalimu wa lissu. Kabudi ni Mwalimu wa Shivji nk.
Naomba mtanange uandaliwe tuone jinsi Tulia atakavyowatoa mbio.
NB. Lissu ana GPA ya 3.6. Shivji ana GPA ya 3.8. Tulia ana GPA ya 4.5 na kabudi ana GPA y 4.9. huu mtanange tujue nani mbabe