Natamani waundaji wa magari wafanye hivi

Kuwe na kitufe maalumu cha kubonyeza kupunguza spidi/kusimamisha gari lisisonge hata hatua moja mara baada ya breki kufeli na tairi kupasuka.
 
Maeneo yapo mengi tu ta kutembea hadi 260.. kwangu 200 ni ya kwaida ambayo naipata less than 2 min
 
Hii level ya uvivu ni beyond and above😅
 
Yanafika na kuzidi
 
Mimi huwa natamani wachina watutengenezee magari yenye maumbo kama ya hammer au zile ferrari na malamborgin lakin injin iwemo ya vitz na liuzwe bei ndogo kama 10 mil
Hasa hayo maumbo ya kiduanzi ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…