Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Kuwe na kitufe maalumu cha kubonyeza kupunguza spidi/kusimamisha gari lisisonge hata hatua moja mara baada ya breki kufeli na tairi kupasuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji tena? Nipo hapa nakunywa kitu origin wisky toka kwa Rome.Kunywa maji mkuu uondoe stress. Unaumizwa kichwa na vitu ambavyo haviumizi kichwa.
Maeneo yapo mengi tu ta kutembea hadi 260.. kwangu 200 ni ya kwaida ambayo naipata less than 2 minBinafsi sioni haja ya magari kuwa na speedometer ya zaidi ya 120 kwa nchi kama yetu yenye mavibao mengi ya 50 na matuta juu kila baada ya 10Km Highway.
View attachment 2168062Hivi unaweza ku- decelerate from 260 to 50 baada ya kuona hicho kibao.
Kwanza sijawahi kukutana na gari mwendo unaoweza kukadiria liko 200 hata hayo ya misafara ya wakubwa yasiyojali zebra sijui kama yanafika 200.
Hii level ya uvivu ni beyond and above😅Habari zenu, tumeshuhudia jinsi teknolojia ya magari yakibadilika kadri ya miaka inavyozidi kusonga. Magari ya zamani mtu alikuwa anaendesha utafikiri anapigana na mtu kiasi kwamba nguvu itumikayo inakuwa ni kubwa lakini hali imebadilika na magari ya hivi sasa watu hawatumii tena nguvu kama awali na pia kumekuja na magari ya kuwa ya automatic badala ya manual.
Hapa upande wa magari ya auto natamani waundaji wangefanya maboresho zaidi ili liweze kufanya yafuatayo;
1) Gari liwe na sehemu ya kuchagua spidi unayotaka kuendesha hivyo dereva anachotakiwa kufanya ni kubonyeza kitufe cha spidi anayoitaka kisha gari lenyewe litafanya automatic acceleration au deceleration.
2) Gari liwe na camera ya long range mbele na nyuma ili kumuwezesha dereva kuona mita kumi au tano mbele yake au nyuma yake kuna nini.
3) Gari liwe na uwezo wa kufanya overtake automatically pindi dereva akibonyeza kitufe cha overtake. Hapa ni kwamba gari linatakiwa lisome spidi ya gari lililopo mbele linaloenda njia moja kisha isome gari linatoka upande wa pili kisha ifanye hesabu automatic kujua ni spidi gani ya kwenda nayo ili ku overtake tuchukulie mfano gari lipo barabara ya kwenda Morogoro na gar X inatoka dar kwenda Morogoro hivyo hivyo kwa gari Z lakini gari Y linnatoka Morogoro kuja Dar. Haya magari mawili yaendayo Moro yameongozana na gari Z anataka kumu overtake gari X na mbele kuna gari Y linakuja. Hapo inabidi gari linalo overtake liweze kusoma spidi za gari zote mbili X na Y na kisha ifanyike hesabu automatic.
Hivyo dereva akibonyeza kitufe cha overtake gari litabidi li overtake kama hesabu zimeruhusu. Ila kama hesabu hazirusu basi ioneshe alama ya [emoji3544] not allowed.
Yanafika na kuzidiBinafsi sioni haja ya magari kuwa na speedometer ya zaidi ya 120 kwa nchi kama yetu yenye mavibao mengi ya 50 na matuta juu kila baada ya 10Km Highway.
View attachment 2168062Hivi unaweza ku- decelerate from 260 to 50 baada ya kuona hicho kibao.
Kwanza sijawahi kukutana na gari mwendo unaoweza kukadiria liko 200 hata hayo ya misafara ya wakubwa yasiyojali zebra sijui kama yanafika 200.
Hasa hayo maumbo ya kiduanzi ya nini?Mimi huwa natamani wachina watutengenezee magari yenye maumbo kama ya hammer au zile ferrari na malamborgin lakin injin iwemo ya vitz na liuzwe bei ndogo kama 10 mil
Kuna watu yanatuvutiaHasa hayo maumbo ya kiduanzi ya nini?
Heee kweli kuna ntu na ntuKuna watu yanatuvutia