BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Naombea Azam au timu yoyote nje ya Yanga na Simba ifanye vizuri mashindano ya kimataifa ili kupunguza siasa
Kwa siasa hizi zinazo endelea nawaombea mabaya Yanga na Simba, wasifike kokote kule msimu ujao hasa michezo ya kimataifa hili litasaidia kuondoa kampeni za siasa ndani ya Yanga na Simba.
Badala watawala wakuze aina zote za michezo kuanzia riadha, Ndondi na kadhalika wako buys kudandia mafaniko ya Vilabu na kuanza kutumia hayo mafanikio kwenye kampeni zao ionekane wanakuza michezo. Huu ni kuishiwa Sera kabisa.
Kwa saaa inataka ionekane Raisi ana mchangi mkubwa saba kwenye mafanikio ya Yanga kitu ambacho sio kweli hata kidogo zaidi ya Siasa.
Hivi vilabu viwili visifike kokote kule, Bora Azam ifanye vizuri ila sio hawa Yanga na Simba wanao tumika kisiasa kisa wana mashabiki wengi.