Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,363 Reaction score 10,265 Feb 5, 2024 #1 Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 5, 2024 #2 subiri kigoma kuwa kama dar au chato
G gemseeker23 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 354 Reaction score 246 Feb 5, 2024 #3 Chance ndoto said: Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa Click to expand... 2035
Chance ndoto said: Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa Click to expand... 2035
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Feb 5, 2024 #4 Chance ndoto said: Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa Click to expand... Zingatia: Kwa udini alionao hawezi hata kupita Vetting ya kuwa Mtendaji wa Kijiji.
Chance ndoto said: Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa Click to expand... Zingatia: Kwa udini alionao hawezi hata kupita Vetting ya kuwa Mtendaji wa Kijiji.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 5, 2024 #5 Hafai
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 5, 2024 #6 Hii nchi inahitaji ukoloni kwa mara ya pili, ndiyo sasa tutakuwa na uwezo wa kujitawala.
Robidinyo JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 4,043 Reaction score 8,686 Feb 5, 2024 #7 Zitto ni bora chama chakavu kiendelee kuongoza
Buenos Aires JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 1,894 Reaction score 1,622 Feb 5, 2024 #8 Chance ndoto said: Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa Click to expand... Kama sio SSH basi itapendeza akiwa zitto
Chance ndoto said: Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa Click to expand... Kama sio SSH basi itapendeza akiwa zitto
nangwanda JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 361 Reaction score 575 Feb 5, 2024 #9 Hata kua baba mkwe hatoshi
K kidole cha simba JF-Expert Member Joined Jun 3, 2022 Posts 1,994 Reaction score 2,510 Feb 10, 2024 #10 Chance ndoto said: Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa Click to expand... labda afungue msikiti akishirikiana na sheikh ponda!!
Chance ndoto said: Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa Click to expand... labda afungue msikiti akishirikiana na sheikh ponda!!