Hahahaha maana hata mimi sijamuelewa kabisa mkuu!Hapo unachotaka ni nini mkuu?
Nenda hospitaliGx almaarufu One hundred" Hii aina ya gari ilivuma sana kunako miaka ya 2000 wakati ule Noah ilikuwa my favourite, Leo hii nakumbuka Gx100 sasa udenda unanitoka nikiifikiria.wajuzi kama mnaijua vema na upatikanaji. Hi tabia yangu inanikosesha usingizi....haya ma verrosa yametulia shida yake ni Ile misauti yake. Hili gonjwa lanitesa sana
Mpe location kabisa kwamba ni ile hospitali ya kule DodomaNenda hospitali
Unataka 1G kavu au VVTi?Gx almaarufu One hundred" Hii aina ya gari ilivuma sana kunako miaka ya 2000 wakati ule Noah ilikuwa my favourite, Leo hii nakumbuka Gx100 sasa udenda unanitoka nikiifikiria.wajuzi kama mnaijua vema na upatikanaji. Hi tabia yangu inanikosesha usingizi....haya ma verrosa yametulia shida yake ni Ile misauti yake. Hili gonjwa lanitesa sana
Mwenzio bado yupo kwenye matamanio
Huyu anataka Gx 100 1gkavu, nicheki ninayo nicheki 0688831010