Natambulisha track yangu mpya kwa Wana JF

Natambulisha track yangu mpya kwa Wana JF

Ndugu yetu huyu yuko wapi au kaenda jela tena?

#MaendeleoHayanaChama
 
Don Sasa huo ni wimbo gani kama ulitka kufanya wimbo wa aina hiyo basi ungetumia mikito mizito kwenye bit ungetoa ngoma Kali Sana .Siwez kizalau Kaz yako lakini kama kweli umeamua kufanya mziki basi kuwa siliazi na kazi yako Mana ni kama unatania tu.Kila la heli lakini pia Tafuta wataalamu wa afya ya akili ili uwe vizuri kwa maendeleo ya mziki wako.
 
Jamaa yetu kapotelea wapi? Au tayari kashasepa zake USA?
 
Ngoma kali sana hii mkuu, ni kama amapiano fulani ya kitanzania. Hakika wewe ni msanii mkubwa sana sema hawajui tu. Fanya uhame nchi kaka bongo sio level zako nenda hata Nigeria.
😂Chai
 
Aaaah amapiano karii
Mwisho kasema ooooh yeah 😅
 
Back
Top Bottom