kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
Niko nyuma yako.kama kichwa kinavyojieleza japo muelezeaji n mm.nimekaa chini nkatafakari na kupiga hesabu ya faida nilioingiza na niliopata nimebaki nmejiinamia tu,nasema hivi sirudii tena
Dem wangu akija getho naona kawaida tu had anashangaa nna mawazo gan kumbe kutwa nzma nawaza namna ya kumhujumu kanji,nikiwa dukan kuna muda wateja nawaona kama wananipotezea muda wa kusuka mikeka
Leo nilikuw kwenye kikao cha ndugu niliona wananipotezea muda tu.na nguvu za kiume zimeanza kudebweda.
nimeanza kubet 2015-2019 sijaona faida yyte ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha....jero kwa m au mabehema ya mwakembekama kichwa kinavyojieleza japo muelezeaji n mm.nimekaa chini nkatafakari na kupiga hesabu ya faida nilioingiza na niliopata nimebaki nmejiinamia tu,nasema hivi sirudii tena