Natangaza kuacha kubeti leo tar 5

Natangaza kuacha kubeti leo tar 5

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,058
Reaction score
3,613
Kama kichwa kinavyojieleza japo muelezeaji ni mimi. Nimekaa chini nkatafakari na kupiga hesabu ya faida nilioingiza na niliopata nimebaki nmejiinamia tu,nasema hivi sirudii tena
Dem wangu akija getho naona kawaida tu had anashangaa nna mawazo gan kumbe kutwa nzma nawaza namna ya kumhujumu kanji,nikiwa dukan kuna muda wateja nawaona kama wananipotezea muda wa kusuka mikeka

Leo nilikuw kwenye kikao cha ndugu niliona wananipotezea muda tu.na nguvu za kiume zimeanza kudebweda.

Nimeanza kubet 2015-2019 sijaona faida yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kichwa kinavyojieleza japo muelezeaji n mm.nimekaa chini nkatafakari na kupiga hesabu ya faida nilioingiza na niliopata nimebaki nmejiinamia tu,nasema hivi sirudii tena
Dem wangu akija getho naona kawaida tu had anashangaa nna mawazo gan kumbe kutwa nzma nawaza namna ya kumhujumu kanji,nikiwa dukan kuna muda wateja nawaona kama wananipotezea muda wa kusuka mikeka
Leo nilikuw kwenye kikao cha ndugu niliona wananipotezea muda tu.na nguvu za kiume zimeanza kudebweda.
nimeanza kubet 2015-2019 sijaona faida yyte ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko nyuma yako.

hahahaha....jero kwa m au mabehema ya mwakembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukibet kwa malengo na ukiwa na bahati unasonga tu,ila bet isikutawale ikikutawala utataka kila siku kila muda uwe unabet,
Alafu uwe na mtaji wa kueleweka,

Ongera kwa kufanikiwa kujitoa kwenye fursa ya kubet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom